Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,168
Aliyetoa comment atakuwa Engineer [emoji1] [emoji1]Hii COMMENT imekaa ki Engineer....
Iko poa, iko mwake, iko Bwaxx....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Aliyetoa comment atakuwa Engineer [emoji1] [emoji1]Hii COMMENT imekaa ki Engineer....
Iko poa, iko mwake, iko Bwaxx....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Hamna kawaida tu!sema nakwel sio kwa kwel, unaposema kwa kweli unaonesha jins gani unatia huruma naupo namtu ambaye nitofaut san yan sana uliyemuhitaj, sory kama nimekutafsir tofaut
Hongera sana emojiThank God nilie naye hakika ni chaguo langu .Yaani vitu vyooote nilikuwa namuomba Mungu anijalie mwanaume mwenye hizo sifa ndo Mungu amenipatia.kwa hakika nafurahia sana maisha ya ndoa.He is the best husband and best father to my kid.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wewe ni dini gani na umedoo na wangapi? maana wengine tushamaliza dini zote hadi freemason
Mkuuu shida ni kubwa sana. Sijui Pengine wakizalishwa akili zinawakaa vizuri aiseeMie nimepata japo nilikuwa sitaki mwenye mtoto ila nimeamua kumpenda hivyo hivyo maana ambao bado hawajazaa wanasumbua sana
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mkia mwanaume wa nini? Mimi keHuyo ndio unaempenda hizo nyingine nitamaa2, itakuwa hana mkia huyo
Mi hata sielewi, kama nampenda au simpendi
Ngoja na yeye aje atueleze upande wake, huu mchezo hauhitaji mbwembwe.Thank God nilie naye hakika ni chaguo langu .Yaani vitu vyooote nilikuwa namuomba Mungu anijalie mwanaume mwenye hizo sifa ndo Mungu amenipatia.kwa hakika nafurahia sana maisha ya ndoa.He is the best husband and best father to my kid.
Ni kukosa busara tu huko! Sa nikuchache kwani username yangu inaonesha mimi ni wa jinsia gani?He sory kumbe ke! Nashukuru ujanichamba kuna mmoja humu jana kachambwa hatar baada yakumdhania mtu me kumbe ke
Ndio hisia zake lakini. Tusimlaumu, angependa angesema, asingependa pia angesema.hakika bado dunia hii ina wale wanaume wa jamii ya SCORPION WA BUGURUNI,,,yaan uko na mtu halafu hujui kama unampenda au laaa...aisee ungekuwa karibu yangu ..hakika ningekuchoma sindano ya usingizi wa milele nisingekuacha mwanaume wa aina yako uendelee kututesa katika hii dunia..