Legeza mwendo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 519
- 655
Ngoja nije nikutongoze mwenyewehakika bado dunia hii ina wale wanaume wa jamii ya SCORPION WA BUGURUNI,,,yaan uko na mtu halafu hujui kama unampenda au laaa...aisee ungekuwa karibu yangu ..hakika ningekuchoma sindano ya usingizi wa milele nisingekuacha mwanaume wa aina yako uendelee kututesa katika hii dunia..