Uliye nae sasa ndio wa ndoto yako?

Uliye nae sasa ndio wa ndoto yako?

Huwa inakuwa ngumu sana kumpata yule unayemtaka kwa sifa zote.
Ukibahatika utapata mwenye nyingi kati ya sifa unazozitaka ila nyingine hana.
Mwingine anazo chache sana katika unazozihitaji.
Cha msingi mimi nadhani ukimpata mtu ukaridhika naye jinsi alivyo inatosha.
Unawza ukapata mwenye kila sifa ila changamoto inakuja kwenye tabia zake
Mimi nikiridhika na niliyenaye inatosha
Ila dada ujawah kuwaza awe naelim fulan au awe mrefu au mfupi? cna maana kuwa ukiwacho lazima ukipate unaweza uckipate ukampata mwingine naukamfurahia pia
 
ngoja nije nione hatma ya atakae kuwa mzazi mwenzangu. janga la UDINI linaumiza kichwa sana.
Ndio linatia kichefuchefu ila nilamuhimu sana me nawaza sawa huyu wangu amekubali kubadili dini ila je watoto wangu wakienda kumtembelea bibi yao upande wapili je hawez kuwarubuni nakuwashawishi waamini dini nyingine tofaut yangu?
 
Mie nimepata japo nilikuwa sitaki mwenye mtoto ila nimeamua kumpenda hivyo hivyo maana ambao bado hawajazaa wanasumbua sana
Hongera kwakumpata wakumkaribia yule uliyekuwa unamtaka
 
Ila dada ujawah kuwaza awe naelim fulan au awe mrefu au mfupi? cna maana kuwa ukiwacho lazima ukipate unaweza uckipate ukampata mwingine naukamfurahia pia
Kuwaza kupo ila changamoto ni kumpata mwenye hivo vigezo.
Na ndio mana nikasema nikiwa na mwenye navyo hata kama sio vyote naridhika mana ukimtaka anayekidhi vigezo vyote labda untengeneze mwenyew
 
Kuwaza kupo ila changamoto ni kumpata mwenye hivo vigezo.
Na ndio mana nikasema nikiwa na mwenye navyo hata kama sio vyote naridhika mana ukimtaka anayekidhi vigezo vyote labda untengeneze mwenyew
Swadakta umenena chamcng umpate angalau hata akaribie japo sio vyote
 
Aiseeee sifa na utukufu kwa mungu nilikua natamani niolewe na mwanaume ambae atanipenda, kunisikiliza, atakaejitoa kwaajili yangu na hakika nimepata nashukuru Mara 100
swadakta mama mtunze huyo sio uanze manyokanyoka
 
We Mshikaji juzi tu c umeoa? Kumbe yule sio chaguo lako?

Tena umeniboa kweli kuniparamia na mijineno yako ya karaha, kwa taarifa yako mm niko musoma. Haya niambie hiyo ndoa unayosema nimefunga, nilifunga lini na wapi.
 
Kaka nitake radhi, Kwanza mie sio mshikaji. Mimi ni mdada. Sasa hiyo ndoa unayoiongelea sijui ni ya wapi.

We Mshikaji juzi tu c umeoa? Kumbe yule sio chaguo lako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nimecheka hadi konda amenisamehe nauli
 
Back
Top Bottom