Uliye nae sasa ndio wa ndoto yako?

Uliye nae sasa ndio wa ndoto yako?

Yule niliyemuota yeye alimuota mwingine na akamuoa, all the best my dream mate, mpende mkeo
 
Mimi niliyenae sio my dream life wife coz niliowafuata japo nilikuwa na pesa ya kuwahudumia ,waliona mimi ni mpole sana na kuniona labda naigiza so hakuamini kama kweli nampenda ,,Mke wangu nilitaka awe mrefu na mpenda kuvaa kama mimi nilivyo langi nyeusi japo hata mimi ni black na mrefu sana so sikutaka kuowa mfupi ,ila ikuwa2012 nipo chuo Nasoma master's in Linguistics,, ndipo nikapendwa na msichana mzuri black na mwanya ila mfupi ,nikajikuta tunaduu mpaka mimba,,Coz nilijua ninaweza kulea na kuhudumia nikaona tukae nae milele ,,Truly she was not my choice but for now she is my best wife and I love her than any women except my mother na kama natongoza another sure nitakuwa namdanganya tu NB,Sometime we do the wrong choice and turn to be the correct choice ever,,Yaani hata wazazi wangu huwa hawamini maisha yangu yalivyo nyooka na nimejikuta status yangu inachenge ghafla,,Na Leo naonekana the best father ever ,nasema mke wangu anavyonipenda mpaka naona kama nilikuwa na jaji tofauti ,,sasa kazidi kupendeza na simuoni tena mfupi yaani naona kama karefuka tu ila sura ilikuwa nzuri tu ,kumbe ni bonge la demu na figure ya hatariii
 
Siyo chaguo langu kabisa maana na nahisi hata yeye anajua kuwa Mimi siyo chaguo lake.

Nilikutana nae kwenye harusi tukajikuta tunapendana.

Nilipenda kujua yeye anajihusisha na nini akasema anafanya kazi TAKUKURU kumbe hana mishe yoyote yupo home tu hana mchango wowote kwangu.

Namchukia sana na huwa namuonyeshea dharau ili aachane na mimi ila amekuwa king'ang'anizi sana.
 
Mpende tu kukaa na mtu anaye kupenda yeye ni simple ILa wewe upende ,Mwache yeye ndo Ateseke kukupenda
 
me christian ila cna upepo wakuwapata wadini yangu
Utakuwa mkoa flani wewe maana mi huku naishi kuna Dini flani hawapo kabisa,,yaani wakimuona tu Muslim wanamuita alishababu,,but mimi nikotoke ndo asilimia nyingi
 
UKIMTAKA WA NDOTO ZAKO MUUMBE MWENYEWE....lasivyo utamsubiri hadi unakufa...

sent from SIEMENS mkonge.
 
Utakuwa mkoa flani wewe maana mi huku naishi kuna Dini flani hawapo kabisa,,yaani wakimuona tu Muslim wanamuita alishababu,,but mimi nikotoke ndo asilimia nyingi
mh yawezekana ila huku dini zote zpo kasoro alishabu na freemason. Sio kama cdoo nawadini yangu ila mahusiano yetu huwa hayapigi hatua nayanakuwa hayana future ila nikiwapata waupande wapili ndio wanakuwa nafuture namimi
 
Utakuwa kama mimi maduu warefu ,,nayapata but mengi ni zero but nikipopata huyu mfupi duu kama paradisoo,
 
Back
Top Bottom