[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nimecheka hadi konda amenisamehe nauli
Huyu kaka kaniboa sana, Mimi ni mdada. Sijui jina limemchanganya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nimecheka hadi konda amenisamehe nauli
ni mbaya aissee MUNGU atunusuru hatupendi mkanganikoNdio linatia kichefuchefu ila nilamuhimu sana me nawaza sawa huyu wangu amekubali kubadili dini ila je watoto wangu wakienda kumtembelea bibi yao upande wapili je hawez kuwarubuni nakuwashawishi waamini dini nyingine tofaut yangu?
Tatizo Dada umetumia jina la mshikaji wangu tumempatia jiko takribani miezi miwili iliyopita sema ni huko huko kanda ya ziwa mwanza mojA ET, ila usiboreke utapunguza siku za kuishi bure cha msingi chukulia poaKaka nitake radhi, Kwanza mie sio mshikaji. Mimi ni mdada. Sasa hiyo ndoa unayoiongelea sijui ni ya wapi.
Tatizo Dada umetumia jina la mshikaji wangu tumempatia jiko takribani miezi miwili iliyopita sema ni huko huko kanda ya ziwa mwanza mojA ET, ila usiboreke utapunguza siku za kuishi bure cha msingi chukulia poa
Pole sana ujue kwenye Id kama yako watu hukisia tuu, na mazungumzo ya huu uzi yako gender neutralHuyu kaka kaniboa sana, Mimi ni mdada. Sijui jina limemchanganya.
Naam...sijajutia kufungua huu uzi kwa comment yako hii.Asilimia 90% ya wanaume huoa wanawake wa ndoto zao(kwa kuwa wao ndio hutongoza) asilimia 10%tu ya wanawake ndio huolewa na wanaume wa ndoto zao kwa kuwa hawana uwezo wa kutongoza wanaume wanaowapenda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ishi maisha marefu Misswewe ni dini gani na umedoo na wangapi? maana wengine tushamaliza dini zote hadi freemason
hata mimi natafuta mzazi mwenzangu bado moyo wangu kumpenda mtu mzito .maana uzazi hauna cha kupenda wala nini
uzazi unaangalia taratibu za kulea maisha yanasonga
Ahhah nsubhati punguza hasiraTena umeniboa kweli kuniparamia na mijineno yako ya karaha, kwa taarifa yako mm niko musoma. Haya niambie hiyo ndoa unayosema nimefunga, nilifunga lini na wapi.
Kaka nitake radhi, Kwanza mie sio mshikaji. Mimi ni mdada. Sasa hiyo ndoa unayoiongelea sijui ni ya wapi.
Kila steji ya makuzi nilikuwa na wa ndoto zangu, toka nikiwa na miaka mi5!Kufupisha hadithi ni kuwa hakuna kitu kinaitwa ndoto kwenye mapenzi!Uliyenaye ndio "chaguo" ama la shinikizo au la hiyariHabari wanajukwaa pendwa,
Mimi kwa mara ya kwanza naleta mada tuijadili sote, ila kama haitakuwa ngeni humu jukwaani mtaniwia radhi.
Mliopo kwenye ndoa au kwenye mahusiano ya mda mrefu, embu tuambizane huyo uliyenae ndiye aliyekuwa ndoto yako toka ulipoanza kujitambua au upo nae kwasababu amejitokeza/alijitokeza kipindi ambacho wewe ulihitaji kuingia kwenye mahusiano au ulikuwa nashida fulani kwahiyo ukaona umkubalie ili akusaidie shida zako au ulikuwa mpweke ndio akajitokeza akawa mfariji wako kwamda huo naukajikuta umezamia.
Hapa naongelea labda ulitaka boy/girl mwenye muonekano fulani, kiwango fulani cha elimu, kipato, kazi afanyayo, na dini yake ila kwa bahati mbaya ukajikuta upo na mtu ambaye hana kile kitu ulichokipa kipaumbele katika kichwa chako ila ndio hivyo upo nae, embu tuambizane.
Mimi binafsi nilihitaji sana nipate wadini yangu ila kwa bahati mbaya toka nimeanza kudoo sijawahi kumpata wadini yangu, nipo na mahusiano na wadini tofauti na yangu japokuwa amekubali kubadili dini ila najiona bado sijapata kile nikitakacho labda wangebadili dini familia yao yote ila ndio hivyo ishapenda.
Ndoto simaanishi tunazoota tukiwa tumelala ila namaanisha niyale mawazo ambayo unakuwa unayaishi ndani yakichwa chako hasa unapokuwa umechagua wito wandoa nakuanzisha familia nakama tunavyojua familia huanzishwa nawatu wawili namtu huyo unamtazamia kuja kuanzisha nae familia unakuwa humfaham, ila unakuwa napicha fulan ndani yakichwa chako yayule umtakaye, sasa swali je yule uliyemtafakar/ uliyekuwa ukimuhitaj kwaajili yakujenga familia ndiye huyo uliyempata au nitofaut?Ndoto una maanisha nini...??
Kwel dada mungu anakupa kile kikufaacho nasio ukitakacho good!Simjui wa ndotoyangu zaidi ya huyu mungu maana yeye anajua jinsi gani atakavyonikutanisha na ubavu wangu , unless otherwise wacha nijenge maisha yangu kwanza huyo wa ubavu wangu atakuja mudautakapofika kama alivyoniambia dk Nyaki pale hospital leo
Asilimia 90% ya wanaume huoa wanawake wa ndoto zao(kwa kuwa wao ndio hutongoza) asilimia 10%tu ya wanawake ndio huolewa na wanaume wa ndoto zao kwa kuwa hawana uwezo wa kutongoza wanaume wanaowapenda.
Huyo uliyenae ndio wako huyo sio rahisi umpate aliyeenea kila idaraBdo namtafuta blak,mref wastani,nyuma chura,mabegan kapanuka na mikono minene wastani
Nikimpata uyu tamnunulia kuku aende kwa mganga.Kila nkikutana na gal bas anapeleza sifa moja Kati ya izo.Hata uyu nilonae saa hivi anasifa zote ILA tatzo lake Ni mweupe !!!aaahhggg..
Bdo natafuta lakn