Uliye nae sasa ndio wa ndoto yako?

Uliye nae sasa ndio wa ndoto yako?

Ndoto simaanishi tunazoota tukiwa tumelala ila namaanisha niyale mawazo ambayo unakuwa unayaishi ndani yakichwa chako hasa unapokuwa umechagua wito wandoa nakuanzisha familia nakama tunavyojua familia huanzishwa nawatu wawili namtu huyo unamtazamia kuja kuanzisha nae familia unakuwa humfaham, ila unakuwa napicha fulan ndani yakichwa chako yayule umtakaye, sasa swali je yule uliyemtafakar/ uliyekuwa ukimuhitaj kwaajili yakujenga familia ndiye huyo uliyempata au nitofaut?
sawa, nilivyokuwa nakuwa mama ndie mwanamke bora zaidi, nilivyoanza kubalehe nikawa namuomba Allah anipe mke bora sikuwa na ndoto....
 
walimtafutia mwanamk mwingine basi!
Uwwww kumbe wewe ukuwa umependwa! bora nusu shari kuliko shari kamili huyo hakuwa wako nahata ungekuwa nae cku zambelen angekuzngua
 
Nikueleze ndugu yangu hakuna ndoto kwenye kuoa au kuolewa. Katika uumbaji Mungu kufanya fumbo katika mambo matatu: kuzaliwa, kuoa/kuolewa na kifo. Huwezi kuwa na ndoto eti ni namna gani utakavyozaliwa, wapi na utazaliwa na nani. Pia huwezi kuwa na ndoto eti utamuoa nani, utaolea wapi na uta oa kivipi au utaolewa na nani na wapi halikadhalika kifo. Hivi vitu jua kwamba vipo katika maisha lakini you can't create a vision and mission about it ever because all are unpredictable and you can't measure . Unaweza ukawa na vision namna nyumba unayoitaka, gari, au kuwa Kiongozi au Rais.
Yaani Watu wangejua ha ha. Hasa hapo kwenye siku ya kufa. Mtu anakula bata mpaka anahakikisha hana kitu anapoingia kabulini. Lakini ndo basi tena hakuna namna[emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom