Uliyataka Mwenyewe

Uliyataka Mwenyewe

Special Dedication to PakaJimmy!
19899.gif
 
Mkuu mbona unaweka picha za watu huku!? Teh teh teh!!!
 
Mbona simpo tuu.

Wenzetu hospitali zao zina madaktari na vifaa vyote!
 
Nani anamchokoza PakaJimmy ijumaa hii? Mtatukosesha kampani ya kugida nyagi this weekend.
 
Last edited by a moderator:
Utueleza kwann ulitukalisha pale RIP hadi saa tano za usiku na Preta?
Matokeo yake mchumba wake anatishia kuwa leo Ijumaa piga ua hatokei kwenye S/Off!
 
Ha ha ha ha ha .... Maji moto paka kakimbia huyo sijapata kuona....Duu...Halafu kuna miguu ya mdada pale...sijui kwanini hamja ionyesha.
 
Back
Top Bottom