Uliyataka Mwenyewe

264783_148000968671069_1273838921_n.jpg kazi ipoo
 
Jamani nimepotelewa na Mbwa wangu! Mara ya mwisho nilikua naye maeneo ya Arusha mitaa ya Sakina viwanja vya La Piano Club saa 3 za usiku. Atayemuona tafadhali naomba aniPM ili nimpe contact zangu zawadi nikama nilivyoidhinisha hapo juu na picha yake ni kama mnavyoiona na alikua amevaa hivi hivi!
Lost.jpg
 

Attachments

  • Lost Dog.jpg
    Lost Dog.jpg
    24.1 KB · Views: 26
jamani mbona haya ni mateso na uonevu kwa wanyama?
pendeni wanyama jameni...nimesikitika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom