Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Kuna watu kupitia status zao nawashusha thamani kabisa
kuna mzee nilikuwa namheshimu sana ni baba wa kufikia wa demu wangu siku demu akaniachia simu kuangalia namba ya baba yake status kapost mdada anatikisa matakoo...yani sio mara moja na huyo mzee ana mke nkasema daah hapana tumetofautiana
 
Hawajui tu wanyo haribu
 
Hahahaha hamna mikakati tu ya kuishi na wabongo wanafiki mwengine anaweka status akutambie........unkuta anachungulia umeview

Kuna demu alinichek upo kimya haupost kitu status zangu auvyuu kumbe status yake akipost dkk mbili nishavyuu........
GB whats app unaweza uka view status ya mtu asijue kama ume view
 
Kuna jamaa aliwahi kupost tovuti ya xxx video . Yule jamaa ukimwona hata huwezi amini aseh iyo siku nilistaajabu Sana Yani kumbe mpaka huyu naye anaangaliaga pilau
Hahhaha ndo maana sheria ya usiri iwekwa nadhani moja ya muktadha ilikuwa na hii.

Yani kuna watu tunaowaheshimu sana lakini wawapo sirini wayafanyayo yanashangaza!!

Kuna manzi mmoja nilikuwa naye group moja hivi la kijamii mwenye heshima zake na ni kiongozi bhana ile siku kama nikakonyezwa ku view status yake nikakuta "sura yake ikionyeshe chuchu zake analembua kama amepigwa radi nilishtuka na sikuijibu nikaingia kundni nako ameipost"

Ilibidi nimfuate inbox nikamwambia ingia group ufute haraka kuna kitu umetuma na status cha ajabu kwenye ku delete aka select delete for me badala ya for everyone,bhana akauliza nishafuta nikamwambia ndio but nikamshauri ili kujenga confidence tafadhari waombe samahani umetuma kimakosa badala ya kwenda kwa Mr wako ikaja group kuu, but status nikamwambia kausha!!

Ni noma sana omba ukosee kwingine na si kupost status mambo ya papuch na dushe!
 
Ukiona unapata muda wa kupost au kuview status za watu whatsapp jua unafatilia sana maisha ya watu kuliko mambo yako binafsi.
Hivi unawezaje kufuatilia maisha yako tu bila ya wengine?

Muachage mambo zenu, lazima ujichanganye na wadau, uwape hai na kujua hali zao pia bila hao huwezi kutoboa kwenye maisha, they will totally ignore you, kuviwe status za wadau haina maana maana ati huna cha kufanya na unafuatilia mishe zao no no sehemu ya kujichanganya kwani hao ndo watanunua hata bidhaa zako na ndio watakaokusaidia pindi upatapo matatizo,
 
Nani kakuambia kujichanganya ni kuview status za watu whatsapp? unajua maana ya kujichanganya?
 
Wanaopost memes kusema eti wao wako tofauti na wachopost, tusiwatafsiri kwa post zao.

Hapo huwa nacheka sana mtu huwezi kujikwepa hivyo ndivyo ulivyo status zako ndio zinadhihirisha wewe ni mtu wa namna gani. Siaminigi icho kitu eti status sio wewe.
Mtu unaweza kukosa dili za maana kwa memes za kijinga, tuwe makini na posts zetu wadau
 
Kuna demu alijisahau akapost papa yake.....tumbua limeumuka shaved baadae akafuta fasta ...sijui alikosea alikua anamtumia msela akaliweka status
hii ilimtokea pia manzi mmoja rafiki yangu...nadhan na yeye alikua anamtumia msela wake,aliifuta faster lkn ndoivo nilikua nimeshaipata baadae akapost picha ya lips kuzuga kumbe wajuba tunaijua vzur sura ya mbususu kuliko hata noti ya msimbazi
 
Back
Top Bottom