Uliwahi kuona nini WhatsApp status?

Sijaona chochote chaajabu so far inawezekana ni kwasababu nipo very limited na contact zangu!Binafsi napenda kupost misosi🍛🍲 ninayopika,bible quotes,nikiwa vacay🏖️🧳,nikipendeza🤳 au special occasions birthday etc
Vacation??? Mkuu tupeane maarifa basi acha uchoyo
 
Status uchovu sana, depends na contact zinazoview status zako.. watu kipind tupo wanafunzi unapost picha za mock trial, mara upo field sehem kumbe watu wanaleta mzozo.. nshawah kosa dili sehem.. unamtumfuta mtu unamwambia sister nna shida na kazi anakwambia mimi nilijua una kazi na juzi nilipata chance za kazi kigoma ila nlivyokuona jinsi ulivyo nikajua hutoweza kufanya.. mazafaka
 
Utakuwa ulikuwa una ji upgrades sana kweny status
 
Ukizikamata lazima utuwekee status
Kwani me ndo wa kwnza kupata hela mpka nitambe kwa status..…???

Mkuu yahn nikutoe waswas kwa akili za zaman kweli mngapata tabu sana ila sahv nimekuwa mkubwa sina hzo mambo niko humble sana napenda watu wanione sina maisha vita vikali..........
 
Kuna jamaa yupo Kenya na ni mtu mzima tu tuliwahi kufanya biashara fulani sasa nkasave namba yake..Hamadi! Siku ya kwanza kuview status zake nkaona kaweka porno status kama tano zinafuatana zote porno nkafikiri labda bahati mbaya,kesho akaweka tena na tena akatuma na screenshot ya viewers aisee jamaa ana zaid ya watu 5000 wanaoview status zake na kila siku anapost xxx za kibongo,korea,kenya, USA n.k na huwa anasema kama unaona nazingua kuweka porno futa namba yangu lakini nashangaa watu bado wameng'an'ania tu nikiwemo mimi nkagundua watu kibao wanapenda pilau hapa Africa Mashariki
kauzu huyooo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom