Ulitumia umbali gani kufuata penzi?

Nizhneserginsky

Senior Member
Mar 9, 2017
193
500
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada..

Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo

Binafsi nina visa viwili..

1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda tanga kufuta penzi, safari hii sikufanikiwa kula mzigo mara ya pili katika safari hiyohiyo (siku tofauti) nikula mzigo wa toto la kitanga

2. Dodoma-kahama, nilienda kwa mtoto mkali wa kinyamwezi (mwenyeji wa tabora makazi yake kahama) ambaye nilikutana naye social network nijisevia week nzima nikarudi nikiwa nimefurahia penzi la kinyamwezi

wanaJF, ni umbali gani ulitumia kufuata penzi umbali mrefu bila ya kujali gharama/muda?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom