Sasa kama tumetoboa tusiseme[emoji3]Kila mtu humu atasema katoboa jf raha sana
NOTEDUsipotumia uwezo wako kutimiza zako, wapo watakao tumia uwezo wako kutimiza ndoto zao
Acha aibu ya kuchagua kazi na acha uoga wa kufikiria watu watakuchukuliaje mtaani
People will always judge you no matter what...
Shortcut inaweza kukugharimu.[emoji23][emoji23]maisha watu wanatoboa ila ni mdogo mdogo ukitaka shotcut unaweza ukatoboka wewe
Kabla huja tafuta mafanikio lazima Basi u define kwako MAFANIKIO/UTAJIRI NI NINI?Nawasalimu wakubwa zangu wote, Natumai Nyote ni Wazima wa afya huku tukiendelea kuusubiri Mwaka mwingine tena(2021)
.
BACK TO THE TOPIC
Mimi ni graduate wa chuo mwaka huu na umri wangu ni early 20s, Nipo mtaani sina mbele wala nyuma na sioni dalili zozote za kutoboa kimaisha ivi karibuni...Kuna mda nikikaa mwenyewe nawaza mengi sana moyoni "Ivi kweli namimi nitakuja kujenga na kuwa na familia kama wengine" b'coz mpaka sasa ni mtu wa kusubiri ugali mezani
.
.
Hivyo basi ningependa kusikia maoni na ushauri kutoka kwa WAKUBWA ,Je Ninyi Mlitoboa MAISHA mkiwa na UMRI gani???? hasa wanaume ambaye ni nguzo kuu ya kujenga familia, Lengo kubwa la kuuliza ivyo ni kwamba mawazo yananiua mdogo mdogo,kwa kifupi najiona kama Nimechelewa ivi na bado nazidi kuchelewa
.
.
#LIVE,LAUGH,FOCUS
NAWASILISHAA, POVU RUKSA
Nimesoma comments zote mpaka hii yako sijaona aliesema katoboa.Kila mtu humu atasema katoboa jf raha sana
Ifike hatua gan ndio tuseme maisha umeanza kuyatoboa?Nawasalimu wakubwa zangu wote, Natumai Nyote ni Wazima wa afya huku tukiendelea kuusubiri Mwaka mwingine tena(2021)
.
BACK TO THE TOPIC
Mimi ni graduate wa chuo mwaka huu na umri wangu ni early 20s, Nipo mtaani sina mbele wala nyuma na sioni dalili zozote za kutoboa kimaisha ivi karibuni...Kuna mda nikikaa mwenyewe nawaza mengi sana moyoni "Ivi kweli namimi nitakuja kujenga na kuwa na familia kama wengine" b'coz mpaka sasa ni mtu wa kusubiri ugali mezani
.
.
Hivyo basi ningependa kusikia maoni na ushauri kutoka kwa WAKUBWA ,Je Ninyi Mlitoboa MAISHA mkiwa na UMRI gani???? hasa wanaume ambaye ni nguzo kuu ya kujenga familia, Lengo kubwa la kuuliza ivyo ni kwamba mawazo yananiua mdogo mdogo,kwa kifupi najiona kama Nimechelewa ivi na bado nazidi kuchelewa
.
.
#LIVE,LAUGH,FOCUS
NAWASILISHAA, POVU RUKSA
SanaaShortcut inaweza kukugharimu.
Wew bado hujatoboa mkuu!....Mm nina 47 tayari nimetoboa maisha.
Ninaendesha bodaboda, nalisha familia yangu na nalipa kodi ya pango kwa wakati.
Hapo sijatoboa maisha ndugu zangu?
Mkuu mambo ya JF ni ya kuyasoma na kuyaacha yalivyoWew bado hujatoboa mkuu!....
Halafu vipi kuhusu mbinu za kuhakikisha unahongwa magari na nyumba kama wanawake wengine,,, je ulipata ufumbuzi?
Tumwambie ukweli au tumuache?Nna miaka 22 hadi nitakapofikisha miaka 25 na imani nitakua nishatoboa kimaisha
Tumwambie ukweliTumwambie ukweli au tumuache?
Aambiwe ukweli tuuu mkuu mwambie tuuTumwambie ukweli au tumuache?