magasi jnr
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 364
- 571
- Thread starter
- #141
kukidhi basic needs na kuwa financially stableIfike hatua gan ndio tuseme maisha umeanza kuyatoboa?
kukidhi basic needs na kuwa financially stableIfike hatua gan ndio tuseme maisha umeanza kuyatoboa?
Weka huo ukweli apa watu tujifunze mkuuTumwambie ukweli au tumuache?
Usiogope mdogo wangu tupo wengi, Mimi nina miaka 55 lakini hakuna tobo lolote nimewahi toboa mpaka sasa, na ni kati ya viumbe wachache wenye furaha duniani..!😀😀😀😃😃😃😃😃😃😃😃😃
Umetoboa mkuuMm nina 47 tayari nimetoboa maisha.
Ninaendesha bodaboda, nalisha familia yangu na nalipa kodi ya pango kwa wakati.
Hapo sijatoboa maisha ndugu zangu?
Ulisoma kozi gani?Nawasalimu wakubwa zangu wote, Natumai Nyote ni Wazima wa afya huku tukiendelea kuusubiri Mwaka mwingine tena(2021)
.
BACK TO THE TOPIC
Mimi ni graduate wa chuo mwaka huu na umri wangu ni early 20s, Nipo mtaani sina mbele wala nyuma na sioni dalili zozote za kutoboa kimaisha ivi karibuni...Kuna mda nikikaa mwenyewe nawaza mengi sana moyoni "Ivi kweli namimi nitakuja kujenga na kuwa na familia kama wengine" b'coz mpaka sasa ni mtu wa kusubiri ugali mezani
.
.
Hivyo basi ningependa kusikia maoni na ushauri kutoka kwa WAKUBWA ,Je Ninyi Mlitoboa MAISHA mkiwa na UMRI gani???? hasa wanaume ambaye ni nguzo kuu ya kujenga familia, Lengo kubwa la kuuliza ivyo ni kwamba mawazo yananiua mdogo mdogo,kwa kifupi najiona kama Nimechelewa ivi na bado nazidi kuchelewa
.
.
#LIVE,LAUGH,FOCUS
NAWASILISHAA, POVU RUKSA
kuna madogo flan hapo juction ya mnaz mmoja sijui kama unataka kushuka na posta mpya.wametia kabati wanapika vitumbua asee wanapiga hela mpaka unawatamania yaan.hii bizness ya vitumbua naona mjini imepambaDuh! bro pole sana, lakin kwa umri wako still ni mwanafunzi..
Anyway maisha yanaanzia hapo ulipo for now, uko nyumbn kama ulivo dai unasubiri ugari haipendezi, ikiwa tayari usha maliza chuo basi jishughulishe na vitu vidgo vidgo ukiwa hapo home pia jichanganye na vijana wezio walio fanikiwa ili upate idia ni wap uanzie vipo vitu vingi vya kufanya kwa muda huo unasubiri ajira tatizo la wasomi wengi hamtaki kufanya kazi za kuwatoa jasho kwa kulinda elimu yenu kwa jamii lakn sio hvo mnakosea kuna kitu kinaitw boda boda mkuu kama unajua kuendesha pikipik hyo inaweza kukuvusha kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ukiachana na ilo kesho nenda mjini sehem yeyotw uliyopo ujifunze kutoka kwa wengine ajua kuna vijana wengi sana na wanajishughulisha na mambo mbali mbali angalia shughuri unayo weza kuifanya kisha peleleza namn ya kuanza kama ni issu inaitaji mtaji najua kama baba ako aliweza kukulipumia mamilion chuo hawezi shindwa kukupa mtaji ikiwa ni njia ya kukujenga kimaisha hizo habari za kutoboa zinakuja ukiwa na tayari usha pata sehemu ya kuanzia
Ushari..
Sasa huyo mdogo wako au mwano?Usiogope mdogo wangu tupo wengi, Mimi nina miaka 55 lakini hakuna tobo lolote nimewahi toboa mpaka sasa na ni kati ya viumbe wachache wenye furaha duniani..!
Usiamini kila unachosoma mtandaoni mkuu..!!Sasa huyo mdogo wako au mwano?
Kwanza tupe tafsiri ya kutoboa maisha. Ili uonekane umetoboa unatakiwa umiliki vitu gani?