Ulitoboa maisha ukiwa na umri gani?

Ulitoboa maisha ukiwa na umri gani?

Nawasalimu wakubwa zangu wote, Natumai Nyote ni Wazima wa afya huku tukiendelea kuusubiri Mwaka mwingine tena(2021)
.
BACK TO THE TOPIC
Mimi ni graduate wa chuo mwaka huu na umri wangu ni early 20s, Nipo mtaani sina mbele wala nyuma na sioni dalili zozote za kutoboa kimaisha hivi karibuni... Kuna mda nikikaa mwenyewe nawaza mengi sana moyoni " Hivi kweli na mimi nitakuja kujenga na kuwa na familia kama wengine" b'coz mpaka sasa ni mtu wa kusubiri ugali mezani
.
.
Hivyo basi ningependa kusikia maoni na ushauri kutoka kwa WAKUBWA, Je Ninyi Mlitoboa MAISHA mkiwa na UMRI gani???? Hasa wanaume ambaye ni nguzo kuu ya kujenga familia, Lengo kubwa la kuuliza hivyo ni kwamba mawazo yananiua mdogo mdogo, kwa kifupi najiona kama Nimechelewa hivi na bado nazidi kuchelewa.
.
.
#LIVE, LAUGH, FOCUS
Ni kupambana tu mie nlitoboa nilipoanza biashara ya majeneza
 
Mimi nina 47 tayari nimetoboa maisha.

Ninaendesha bodaboda, nalisha familia yangu na nalipa kodi ya pango kwa wakati.

Hapo sijatoboa maisha ndugu zangu?
aaah hapo umetoboa vizuri tu....kutoboa kuzidi hapo utaulizwa kitambulisho cha mjasiriamali ambacho kwanza hakikutambulishi 🙂
 
inategemea malengo yako hasa kama kupatamilo 2, malazi na makazi mimi naona inatosha mimi nimetoboa tayari... sina malengo ya kumiliki v8 mimi escudo inatoshaa

na kadiri malengo yaliyo makubwa ndivyo Furaha inazidi kuwa ndogo
 
Pambana Boi , Hangaika Huku na kule tumia njia zote halal kusaka life popote pale Usiogope wala kuona aibu .

Wakati fulani Jishushe na Degree yako
Fanya kazi yoyote, Stay focused and just be determined.
It took me 5 years to stay in a Jungle hustlin
Heshima ilipotea na Watu walinikataa kimazingira ila Kwa sababu muda ulienda hata Demu wangu aliolewa ndugu walinidharau Washkaji ndo basi simu yangu Nilikua nikiwapigia hawapokei waliiona kama radi.

But Mwanaume huwa hapotei mchezoni akiwa katika kusaka maisha anakaza kibingwa Mpk Anatoboa ... Mungu Wetu ni Mwema sana Tumeokota na Kuheshimika sasa.

Oya Boy kaza Na utatoboa.

Boy utatoboa kutokana na mikazo na wahuni watakubali kuwa wewe ni Mnyama mkali.
 
Shukran Ninja...Nakubal
 
BINAFSI kwangu mimi tafsiri ya kutoboa maisha ni Kuweza kusimama peke yako FINANCIALLY na pia kuweza kupata basic needs (food,clothing & shelter) huku ukibaki na akiba
Kama ni hayo tu, utatoboa mapema sana na baada ya hapo utagundua kumbe bado ndiyo kwanza unaianza safari. Kadri upeo wako unavyo panuka ndiyo unavyojiona unahitajika kufanya zaidi ya jana
 
Kuishi kusudi la maisha yangu kwangu ndo kutoboa.

Ukilijua kusudi la maisha yako na kuliishi ndiyo mafanikio ya kweli.

Kula, kuvaa na kulala siyo tafsiri halisi ya mafanikio.

Impact yako katika maisha ya wengine ndiyo mafanikio halisi.

Ntaanza kuleta nyuzi soon.
 
Umeanza vizuri ila umeharibu hapo kwenye “impact yako katika maisha ya wengine ndiyo mafanikio halisi”.
 
Kutoboa unaaminisha mtu kuwa na maisha ya kiwango kipi, fafanua nichangie mada.
 
Umeanza vizuri ila umeharibu hapo kwenye “impact yako katika maisha ya wengine ndiyo mafanikio halisi”.
Mkuu hapo mwishoni ipo general sana na inahitaji maelezo ili kueleweka vema. Ndiyo maana nikamaliza ahadi ya kuleta nyuzi.
 
Back
Top Bottom