Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,857
- 14,747
Naendelea kutafakari ili nielewe kwa urahisileo umeelewa nini maana akili yako huwa na tafsiri nyingi kwa vitu kidogo tu [emoji23]
Naendelea kutafakari ili nielewe kwa urahisileo umeelewa nini maana akili yako huwa na tafsiri nyingi kwa vitu kidogo tu [emoji23]
Ameshakwambia kumudu mambo matatu tu ye katoboa... kula kulala na kuvaa kama sijakosea[emoji23][emoji23][emoji23]Yako ikoje mkuu
Huwa tunakata tamaa mpka pale utakapoingia kaburini. Hakunaga umri ilimradi tu usijifananishe na wengne wala kukuulza kwamba kwa nn wengne wafanikiwe ww hakna . Hakna angalia akina leizer nkSijui hata kama nitavuka ngazi moja
Nakubali ndgHuwa tunakata tamaa mpka pale utakapoingia kaburini. Hakunaga umri ilimradi tu usijifananishe na wengne wala kukuulza kwamba kwa nn wengne wafanikiwe ww hakna . Hakna angalia akina leizer nk
Dah bibi vizee wengine bhana.Usiogope mdogo wangu tupo wengi, Mimi nina miaka 55 lakini hakuna tobo lolote nimewahi toboa mpaka sasa, na ni kati ya viumbe wachache wenye furaha duniani..!
Nimepokea mafao ya kustaafu.. njoo tule mema ya nchi mzee mwenzangu.Nina 50+ sina dalili ya kutoboa
Atokee msamaria mwema wa kuniinua Jamani, nitampa roho, moyo, Ffgo na kila kitu changuNimepokea mafao ya kustaafu.. njoo tule mema ya nchi mzee mwenzangu.
Ukiwa kama kijana shupavu...basi nakushauri ili mtaji wa 3M unatengenezwa na wewe hapo kupitia kitu unacho kifanya, actually hayupo mzazi wa hvo wa kuoa milion tatu kukupa kufanya biasha kubwa ikiwa hauna idia na hyo biashara yaan haujawai kuifanya ila wanacho fanya ukupa msingi ambao ukuwezesha kuanza ili kufikia uo mtaji mkuu...mtaji wa milion tatu uzalishwa na lakiShukran Mkuu...Tatizo la WAZAZI wetu apa Bongo ni rahisi Kukulipia ata ADA ya milioni Tatu kuliko kukupa Mtaji wa 3M wa biashara
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo maisha yamekutoboa
Nina miaka 24 nauza handbag ambazo nauza jumla na rejareja, nilianza na mtaji wa laki moja na nusu tena nilipewa na baba angu mpka dakika hii navo ongea nasomesha wadogo zangu watatu na naudumia family yangu nimepanga chumba kimoja self nalipa kodi 75 kwa mwezi..Nina umri wa miaka 27 na January hii naingia 28 lakini sijatoboa wala nini na wala bado sijui nifanye nini nitoboe maisha haya
[emoji23][emoji23]maisha watu wanatoboa ila ni mdogo mdogo ukitaka shotcut unaweza ukatoboka wewewe sema umetoa nini maan siku hz watu ni lahisi sana kutoboa masikio kuliko maisha[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata sisi matajiri tulikua hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maisha watu wanatoboa ila ni mdogo mdogo ukitaka shotcut unaweza ukatoboka wewe
Nina 50+ sina dalili ya kutoboa