Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

Last edited by a moderator:
aaaffuuu mwenzenu wakitakiwa kutajwa watu kwa jambo fulani hata hakuna anayenitaja... Yaani hata Hean on earth naye huwa hanitaji.... Sijui nina nini..???

me natamani nikuone Ngalikihinja lakini jina lako limekaaa kikimbikimbizi hivi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom