Mashaxizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 6,707
- 3,360
hii ni party ya kiutu uzima, hatutaki watoto sie, we subiri zile za radio ya mikocheni, huku waache wenyewe wenye kujua ugumu wa kutafuta ajira na kupata, kwanza nyie mkilewa mnafujo na pesa zenu za msimu kama usajili.
Underline:
nani kakudanganya watu wazima hawasomi? Na ni mutoto gani inasoma digirii?
...
Red:
nani kakudanganya kuwa wazee wanaweza pombe kuliko vijana?
Siku moja moja uwe unapitia jukwaa la afya na lile jukwaa la watu wenye akili utathibitisha haya nnayokueleza hapa!