Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

Ulitamani nani awepo katika Party inayokuja?

Rafiki yangu Suzan natamani uwepo party ijayo i miss you nilipenda kampan yako
popote ulipo nakutakia valentine njema
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Rafiki yangu Suzan natamani uwepo party ijayo i miss you nilipenda kampan yako
popote ulipo nakutakia valentine njema

miss neddy
Asante kwanza kwa wishes za siku ya wapendanao, hapa najiweka sawa kupenda watu siku hiyo. Valentine njema kwako pia.

Huko kwenye party naomba majaliwa ya Muumba siwezi kukosa, maana ninahamu ya kuwaona tena team nzima ya Escape 1 na wengineo.
 
pamoja sanaaaa
kumbe hili ndo jina lako la humu ndi nin ukanidanganya
mwekundu kam zis wei ilikuwaje wewe peke yako ndo ulitajiwa jina la Malaika mimi
 
Last edited by a moderator:
mkuu Tuko taratibu apo hivi uko well infomred? AshaDii ni mke wangu na sio wa Invisible utaleta rabsha nifungiwe bure:angry:

Na nia yangu ilikuwa tu kuchokoza ili kumjua mwenye mke wake pale
Hongera kamanda. .. najua hapo ukifanya ujinga "anakunyoosha"...
 
Last edited by a moderator:
Na nia yangu ilikuwa tu kuchokoza ili kumjua mwenye mke wake pale
Hongera kamanda. .. najua hapo ukifanya ujinga "anakunyoosha"...

Kabisaaa yaani hapa nisingepita kwen huu uzi leo ingekuwa kazi kupata unyumba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom