Mashaxizo hakuna kitu kibaya kama supp aise september conference isikie kwa watu maana inakunyima raha yote ya likizo kila ukiwa unakula bata unakumbuka september conference inaua raha yoteMr Rocky usifanye masiara! Kwenye kusoma uzombie nauweka mbali sana! Hakuna kitu nachukia kama sapp! Na naomba nisiipate hivi hivi! Lakini na pare nayo naitaka, na ndio sababu sipendi huo mwezi waliopanga hiyo next pare!
Baba kijacho when it comes to you...........
nakuwaga mkorofi tu
hahaa usijali kizuri kula na wenzio
am such kind af a girl who belive CARING IS SHARING lol
Vuta subila yawezekana pati ikawa tarehe za mwanzo wa mwezi wa sita mfano tarehe 6/6
that is good ni mwendo wa kupokezana vijiti
but pati ijayo itabidi upumzike maana kijacho atakuwa kashaenda eji
Nataka mimi LIZZY niwepo.
Mashaxizo hakuna kitu kibaya kama supp aise september conference isikie kwa watu maana inakunyima raha yote ya likizo kila ukiwa unakula bata unakumbuka september conference inaua raha yote
Jipange tuu mkuu na utafanikiwa bana
Ayaaaaaa ntakuwa makini
Na miye lazima nimwemo wallah
that is good ni mwendo wa kupokezana vijiti
but pati ijayo itabidi upumzike maana kijacho atakuwa kashaenda eji
kwa miss neddy tu
nimekuachia wewe tu ila wengine nitakuwa mkali
Kijacho tabaki na dada
Naona watu mnacheza kombolela sio...