Ulitafutiwa makosa gani ndio ukaachwa?

Ulitafutiwa makosa gani ndio ukaachwa?

Nakumbuka kipindi flani hivi demu wangu m1, Vodacom walikuwa wanabundle la 500 dakika 30
Nikawa ninaunganisha na natumia kumpigia yeye tu.. ila yule demu alikuwa ana package nzuri na watu wengi wenye maisha walikuwa wanafukuzia sometimes wanampeleka mpaka out😢
Siku moja nimempigia tunapiga story nikamwambia kesho una ratiba gani, mtoto akanijibu naenda swimming, nikamuuliza unajua kuogelea, akakata simu, akanitumia meseji una dharau sana, na kwanzia Leo mimi na wewe basi,,,
Basi ndo nikawa nimeachwa Ivo😂😂
Ila nilikuja nikamfukuzia tena nikamuacha na mimi,, FAMASIALA😂😂
Ngoma droo 🤣🤣🤣
Kutangulia kuachwa inauma sana
 
Hahah hapo nilichogundua umasikini kwenye mapenzi ni kitu kibaya sana [emoji2][emoji2]
Sana mkuu...
Sema kingine ni kawaida katika maisha... Especially katika kukua, unakuta bado mtu ni kijana mdogo hana kipato, bado unatafuta maisha na kusoma, upo kwa wazazi, unatoka na mademu wa rika lako kushuka chini,
Ila hao hao mademu wana market mpaka kwa watu wakubwa, wenye kipato na connection za maisha, wanakuchukulia manzi ako...
Unakuta demu wa umri wako amesharuka viwanja ambavyo mwanaume miaka 7 baadae ndo unakuja kuweza kuvienda.
 
Nilisema ile ndo chance nikamuingiza line, nikapita hivi..
Akaja kujazwa, akabadilika umbo, akadrop affection, mpaka saivi ni mpole,,, nikaona njia yake ilikuwa fupi sana
Kamoyo kakaridhika sasa na wewe umeacha😀😀😀 yeah sometimes haitakiwi iwe kinyonge
 
Huwa sina sababu yakuacha siwez kudumu na dem wiki mbili tu, huwa namchoka naona hana jipya hasa nikishapiga .
 
Kabisaa sasa ananirudi baada ya kuwa pisi kali[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi ndio amekuwa benki yangu nikiishiwa simu moja kumuomba hela na yeye anajifanya mtoaji anatoa akizani atapasha kipoloo



Kimoyomoyo namwambia utakula kwa macho
Huyo sina huruma nae, ni haki yake
 
Sometimes unaachwa na baby wako kwa sababu ambazo sio za msingi mpaka unahisi tu hapa nimetafutiwa sababu [emoji2][emoji2][emoji2],,,,

FUNGUKA kama yamewahi kukukuta[emoji1787][emoji1787] (uliambiwaje)
Aliiambia anataka apandishe GPA, so nimpe muda.
 
Mimi niliombwa hela nikayeyusha mwisho wa siku nikapigwq chini mazima
 
Back
Top Bottom