Ulitafutiwa makosa gani ndio ukaachwa?

Ulitafutiwa makosa gani ndio ukaachwa?

Nakumbuka kipindi flani hivi demu wangu m1, Vodacom walikuwa wanabundle la 500 dakika 30
Nikawa ninaunganisha na natumia kumpigia yeye tu.. ila yule demu alikuwa ana package nzuri na watu wengi wenye maisha walikuwa wanafukuzia sometimes wanampeleka mpaka out😢
Siku moja nimempigia tunapiga story nikamwambia kesho una ratiba gani, mtoto akanijibu naenda swimming, nikamuuliza unajua kuogelea, akakata simu, akanitumia meseji una dharau sana, na kwanzia Leo mimi na wewe basi,,,
Basi ndo nikawa nimeachwa Ivo😂😂
Ila nilikuja nikamfukuzia tena nikamuacha na mimi,, FAMASIALA😂😂
 
Nakumbuka kipindi flani hivi demu wangu m1, Vodacom walikuwa wanabundle la 500 dakika 30
Nikawa ninaunganisha na natumia kumpigia yeye tu.. ila yule demu alikuwa ana package nzuri na watu wengi wenye maisha walikuwa wanafukuzia sometimes wanampeleka mpaka out[emoji22]
Siku moja nimempigia tunapiga story nikamwambia kesho una ratiba gani, mtoto akanijibu naenda swimming, nikamuuliza unajua kuogelea, akakata simu, akanitumia meseji una dharau sana, na kwanzia Leo mimi na wewe basi,,,
Basi ndo nikawa nimeachwa Ivo[emoji23][emoji23]
Ila nilikuja nikamfukuzia tena nikamuacha na mimi,, FAMASIALA[emoji23][emoji23]
Hahah hapo nilichogundua umasikini kwenye mapenzi ni kitu kibaya sana [emoji2][emoji2]
 
Nililia na makamasi kama mtoto mdogo. Akaniletea zawadi ya keki za bakhresa wakati nakula akawa ananipiga piga mgongoni mbele hivi kuna kioo najiona. Hapo akili zikarudi nikajiona kumbe kuna mda unaweza kuwa msukule huru wa kifungo cha nje😄 Nikamuomba sasa tumerudiana inabidi tufanye threesome ili aniache. Mwenzangu akakubali tena akadai kuna mshikaji alisoma nae chuo. Mpumbavu sana yule dada kwenye threesome hakuwezi kuwa na abdala kichwa wazi na dullah kichwa wazi kwa pamoja😄 nikampiga chini

ana watoto watatu sasa mara ya mwisho nilipishana nae chocho ana kitumbo anatema mate tu akaniomba hela akanunue embe nikamjibu unataka "maembe msimu wa machungwa" akapita vile na mimi nikapita kule. Alifikiri nimesahau🤣

Hawa Analyse Half american Extrovert wanadai hawajawah kuachwa.
😂😂😀
 
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom