Nyie ndio wale mnakuwa kwenye mahusiano kama hampo vile. Yan kuna aina ya mtu una date naye ila kama haudate naye .Mi hata sikumbuki kuachwaga [emoji1787] najienguaga tu nikichoka.
Ungempa energy drink, apate nguvu muendelee.Kuna sababu zingine zinachekeshaga sana. [emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi mapenzi na chenyewe ni kitu kinahitaji mapumziko kweli? Kwan sisi ni wazungu? Siunichane tu kama umepata d*ck nyingine?
Popote alipo, atafunzwa na Dunia [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliambiwa hivi.
Mi saiv sipo kweny mahusiano na mtu yeyote mpk mamb yangu yakae sawa ndo maan unaon nipo mbali
Alikuweka status au?Eti kisa sijaview status
Pole jamani.Niliambiwa kuwa nilikuwa namsubiri mtoto afikishe miaka miwili maana ningekuacha before ingemwathiri mtoto Ila sababu mtoto kafikisha 2yrs nakuacha,nililia kama kichaa
Hahahah hio inaitwa Special Romantic Operation 😀😀😀 (SRO) ni penzi la kijasusi!!!Nyie ndio wale mnakuwa kwenye mahusiano kama hampo vile. Yan kuna aina ya mtu una date naye ila kama haudate naye .
Alitaduta tu sababu ya kukuacha ,alipata mwingine tayr Hata uko kazini kwakeTime nipo chuo mwaka wa kwanza niliwai kumtia rafiki wa demu wangu (nilikuwa sijui kuwa wanajuana)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnafurahishaKisa et sitabasamu hivyo namchanganya anashindwa kuelewa nimechukia au nafuraha,[emoji15][emoji15]