Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,081
- 10,558
Haha😅😅 bhas alikua mtoto kweny mapenziIlikuwa ni new mtongozo jamani
Hata sijasema yes wala no
Mtu akanuna akaaga
Haha😅😅 bhas alikua mtoto kweny mapenziIlikuwa ni new mtongozo jamani
Hata sijasema yes wala no
Mtu akanuna akaaga
Akome kiherehere😂😂 kwanza nani alimtuma ashike simu yangu
Tatzo la wabongo wabinafsi Kwan ukieleza apa kwa faida ya jamii utapungukiwa Nini?Kama una miaka 18+ na hujui tofauti ya mkimya na mpole hata nikikuambia hutaelewa...endelea kuelewa hivyohivyo tu kikubwa uhai
We sema tu 😀😀😀 si unajua nakusemq wewe unataka kurudisha madongo 🤪😜Nilitaka niseme neno ila wacha niseme polee ila nimecheka😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀kwahiyo ye ni mwamba wa three some 😀We sema tu 😀😀😀 si unajua nakusemq wewe unataka kurudisha madongo 🤪😜
Labda baada ya kumeza vidonge na energy drink😀😀😀😀😀😀kwahiyo ye ni mwamba wa three some 😀
Ina maaana aah
😀😀😀Labda baada ya kumeza vidonge na energy drink😀
[emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]hataki kuchanganya mapenzi na masomoAnaenda kusoma udokta muhas ivo nimuache Kwanza Mana course za udokta ni ngumu[emoji1][emoji1][emoji1]
😁😁😁😁😁[emoji3][emoji38][emoji38][emoji38]hataki kuchanganya mapenzi na masomo
😂😂Anaenda kusoma udokta muhas ivo nimuache Kwanza Mana course za udokta ni ngumu😄😄😄
Atapata mwenza huko huko Mohas 😅😅Anaenda kusoma udokta muhas ivo nimuache Kwanza Mana course za udokta ni ngumu😄😄😄
Mi nilijamba dining room tukiwa na wazazi wakeSometimes unaachwa na baby wako kwa sababu ambazo sio za msingi mpaka unahisi tu hapa nimetafutiwa sababu [emoji2][emoji2][emoji2],,,,
FUNGUKA kama yamewahi kukukuta[emoji1787][emoji1787] (uliambiwaje)
Asante 😅Poleee😀😀😀
Asante, japo umenipa pole huku unanicheka 😅😅😅
Unalia mpaka kamasi, ulimpa Figo? 😅😅Nililia na makamasi kama mtoto mdogo. Akaniletea zawadi ya keki za bakhresa wakati nakula akawa ananipiga piga mgongoni mbele hivi kuna kioo najiona. Hapo akili zikarudi nikajiona kumbe kuna mda unaweza kuwa msukule huru wa kifungo cha nje😄 Nikamuomba sasa tumerudiana inabidi tufanye threesome ili aniache. Mwenzangu akakubali tena akadai kuna mshikaji alisoma nae chuo. Mpumbavu sana yule dada kwenye threesome hakuwezi kuwa na abdala kichwa wazi na dullah kichwa wazi kwa pamoja😄 nikampiga chini
ana watoto watatu sasa mara ya mwisho nilipishana nae chocho ana kitumbo anatema mate tu akaniomba hela akanunue embe nikamjibu unataka "maembe msimu wa machungwa" akapita vile na mimi nikapita kule. Alifikiri nimesahau🤣
Hawa Analyse Half american Extrovert wanadai hawajawah kuachwa.
Kah kah kah kah kah daaah nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi nilijamba dining room tukiwa na wazazi wake
Baada ya hapo kesho yake nimerudi home nimekula mitusi ya kila aina na block juu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ushauri wanangu msijambe jambe mbele za watu ni nuksi hii kitu
Hii ni sababu ya msingi mkuu sio ya geresha,,,,wale viumbe inabidi tuwakaze kisawasawa mkuuKukojoa ndani ya dk moja.. plus kibamia .. nikachezea kitasa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nililia na makamasi kama mtoto mdogo. Akaniletea zawadi ya keki za bakhresa wakati nakula akawa ananipiga piga mgongoni mbele hivi kuna kioo najiona. Hapo akili zikarudi nikajiona kumbe kuna mda unaweza kuwa msukule huru wa kifungo cha nje😄 Nikamuomba sasa tumerudiana inabidi tufanye threesome ili aniache. Mwenzangu akakubali tena akadai kuna mshikaji alisoma nae chuo. Mpumbavu sana yule dada kwenye threesome hakuwezi kuwa na abdala kichwa wazi na dullah kichwa wazi kwa pamoja😄 nikampiga chini
ana watoto watatu sasa mara ya mwisho nilipishana nae chocho ana kitumbo anatema mate tu akaniomba hela akanunue embe nikamjibu unataka "maembe msimu wa machungwa" akapita vile na mimi nikapita kule. Alifikiri nimesahau🤣
Hawa Analyse Half american Extrovert wanadai hawajawah kuachwa.