Ulitafutiwa makosa gani ndio ukaachwa?

Ulitafutiwa makosa gani ndio ukaachwa?

Mi hata sikumbuki kuachwaga 🤣 najienguaga tu nikichoka.
Kuna zile hamuachani mnapotezeana tu. Siku mkikutana mnajifanya kama vile hamkuwahi kuachana. Mnaendeleza mlipoishia.

Kuna bi dada mmoja tulikuwa hivyo. Tunachuniana tu halafu siku tukikutana au mmoja kummiss mwenzie basi tunaanzia pale tulipoishia. Tukikinaina kila mtu anashika hamsini zake.

Nilijiengua mazima baada ya demu kuolewa maana huwa sijisikii vizuri kumgongea mtu mke wake. Japo alijaribu mara kadhaa kuanzisha tulipoishia ila safari niliweka munda.
 
Nilijiengua mazima baada ya kuolewa maana huwa sijisikii vizuri kumgongea mtu mke wake. Japo alijaribu mara kadhaa kuanzisha tulipoishia ila safari niliweka munda.
Hahahahahah umetumia ustaarabu sana
 
Kuna zile hamuachani mnapotezeana tu. Siku mkikutana mnajifanya kama vile hamkuwahi kuachana. Mnaendeleza mlipoishia.

Kuna bi dada mmoja tulikuwa hivyo. Tunachuniana tu halafu siku tukikutana au mmoja kummiss mwenzie basi tunaanzia pale tulipoishia. Tukikinaina kila mtu anashika hamsini zake.

Nilijiengua mazima baada ya demu kuolewa maana huwa sijisikii vizuri kumgongea mtu mke wake. Japo alijaribu mara kadhaa kuanzisha tulipoishia ila safari niliweka munda.

Ukaaga mashindano kama Horoya AC
 
Pole yake labd alikua mkimya San Kuna mtu ata ukianzisha maongez Hana habari,ukimzingua yey poa tu,mke akimshika tako yey poa tu aah apo lazma demu akukatae😅😅
Yes, ni mtu wa aina hiyo. Kwanza hajui kukasirika ila pia sio muongeaji so binti akawa analalamika jamaa 'hajachangamka'😂

Maana hata wakiwa private ni hadi binti aanzishe ndio jamaa anarespond, jamaa hawezi anzisha. sa sijui anaona aibu au vipi.
Binti kavumilia ila badae akayabwaga manyanga.
 
Na huyo binti ni wewe
 
Sasa si angempa mda tu amvumilie outing nn na washikaji angeanz kuchangamka😅
 
Back
Top Bottom