Nililia na makamasi kama mtoto mdogo. Akaniletea zawadi ya keki za bakhresa wakati nakula akawa ananipiga piga mgongoni mbele hivi kuna kioo najiona. Hapo akili zikarudi nikajiona kumbe kuna mda unaweza kuwa msukule huru wa kifungo cha nje😄 Nikamuomba sasa tumerudiana inabidi tufanye threesome ili aniache. Mwenzangu akakubali tena akadai kuna mshikaji alisoma nae chuo. Mpumbavu sana yule dada kwenye threesome hakuwezi kuwa na abdala kichwa wazi na dullah kichwa wazi kwa pamoja😄 nikampiga chini
ana watoto watatu sasa mara ya mwisho nilipishana nae chocho ana kitumbo anatema mate tu akaniomba hela akanunue embe nikamjibu unataka "maembe msimu wa machungwa" akapita vile na mimi nikapita kule. Alifikiri nimesahau🤣
Hawa
Analyse Half american Extrovert wanadai hawajawah kuachwa.