Ulitafutiwa makosa gani ndio ukaachwa?

Ulitafutiwa makosa gani ndio ukaachwa?

Amini hakuna mtu anakuqcha bila sababu, always kuna sababu na ukiona huambiwi. Either ni ya kitoto kiasi kwamba anaona aibu, au umechokwa sasa amepata njia

Ni kweli ila ni bora mtu afunguke tu ukweli hata kama unaumiza kuliko kukaa kimya
Maana unakua unatengeneza mawazo mengi kichwani bila jibu la msingi.
 
Kuna sababu zingine zinachekeshaga sana. [emoji28][emoji28][emoji28]

Hivi mapenzi na chenyewe ni kitu kinahitaji mapumziko kweli? Kwan sisi ni wazungu? Siunichane tu kama umepata d*ck nyingine?

Popote alipo, atafunzwa na Dunia [emoji28][emoji28]
[emoji2][emoji2][emoji2] pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliacha mimi bila sababu. Niliacha kupokea simu zake tu. Alikuwa anapiga vizinga mno.

Baada ya miaka kadhaa nilikutana nae kawa pisikali balaa akaniuliza mbona ulikuwa hupokei simu zangu niliikuta nimejibu tu kuwa simu iliisha charge.

Alinyima mbususu yake baada ya hapo japo niliimbisha sana tupashe kiporo.
 
Hakijawahi nikuta 😂

Yule aliyeniachaga ni alikuta sms za mwenzake ananijaribu ye akanuna akaaga shindano 🤣🤣🤣🏃‍♂️🏃‍♂️
Wanawake ata akikos ataneutrauliz kosa ili awe innocent ,kwann usimblock mtu mpk jamaa ako akaona sms ulikua unatak subs😅
 
Half american Extrovert Gily Depal Analyse si mje mseme mliachwaje 😀😀😀😀
Nililia na makamasi kama mtoto mdogo. Akaniletea zawadi ya keki za bakhresa wakati nakula akawa ananipiga piga mgongoni mbele hivi kuna kioo najiona. Hapo akili zikarudi nikajiona kumbe kuna mda unaweza kuwa msukule huru wa kifungo cha nje😄 Nikamuomba sasa tumerudiana inabidi tufanye threesome ili aniache. Mwenzangu akakubali tena akadai kuna mshikaji alisoma nae chuo. Mpumbavu sana yule dada kwenye threesome hakuwezi kuwa na abdala kichwa wazi na dullah kichwa wazi kwa pamoja😄 nikampiga chini


ana watoto watatu sasa mara ya mwisho nilipishana nae chocho ana kitumbo anatema mate tu akaniomba hela akanunue embe nikamjibu unataka "maembe msimu wa machungwa" akapita vile na mimi nikapita kule. Alifikiri nimesahau🤣

Hawa Analyse Half american Extrovert wanadai hawajawah kuachwa.
 
Nililia na makamasi kama mtoto mdogo. Akaniletea zawadi ya keki za bakhresa wakati nakula ajawa ananipiga piga mgongoni mbele hivi kuna kioo najiona. Hapo akili zikarudi nikajiona kumbe kuna mda unaweza kuwa msukule huru wa kifungo cha nje😄 Nikamuomba sasa tumerudiana inabidi tufabye threesome ili aniache. Mwenzangu akakubali tena akadai kuna mshikaji alisoma nae chuo. Mpumbavu sana yule dada kwenye threesome hakuwezi kuwa na abada kichwa wazi na dullah kichwa wazi kwa pamoja😄 nikampiga chini


ana watoto watatu sasa mara ya mwisho nilipishana nae chocho ana kitumbo anatema mate tu akaniomba hela akaninue embe nikamjibu unataka "maembe msimu wa machungwa" akapita vile na mimi nikapita kule. Alifikiri nimesahau🤣

Hawa Analyse Half american Extrovert wanadai hawajawah kuachwa.
Nilitaka niseme neno ila wacha niseme polee ila nimecheka😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom