Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Aisee niliwahi pata kisa kama chako, nafika tu form 5 moyo ukadondokea kwa binti mmoja wa shule ya jirani! Yeye alikuwa form 2..

Nilifanya jitihada zote nimpate, hakuonesha interest yeyote na mimi, kidume nakomaa lakini wapi (story yake naweza andika kitabu), mengi nilipitia na mengine ya aibu hata kusimulia, ningefanyeje na moyo ushapenda, miaka miwili yote mpka naondoka ule mji mambo yalikuwa bila bila ila atleast nilikuwa na namba yake!

Baada ya kuondoka kule akaja akanikubalia, nadhan ile kutaka kuniridhisha tu maana nilikuwa mbali na sina madhara, kuna kipindi nikiwa nshaanza chuo nikamfunga safari kumfuata, dah yan alinikana hadharan akadai hata kusema ananipenda huwa anajilazimisha tu, nilijibebesha mwenyewe maua na kadi, ikabidi nimpe tu, pengine aliyatupa huko mbele ya safari.

Nilipiga moyo konde, nikaamua kusonga mbele..sikupanga kumtafuta tena na yeye alijua hilo, na akabaki kimya. Miaka ikaenda nikamaliza chuo, nikawa nshaanza kazi na maisha yanaendelea.

Basi siku moja napokea simu akajitambulisha kwamba ni yeye, story zikawa nyingi kama huyo prisca wako, akauliza kama nshaoa na akadai eti ananipenda

Nikaona isiwe kesi, nikamuuliza nitaamini vipi sasa, akadai anakofanya kazi ana likizo tayari hivyo kabla hajaenda kwao atasafiri kuja kwangu atakaa wiki.

Sikuwa na kipingamizi, alisafiri na akapika na kupakua wiki nzima, kiukweli nilikuwa bado nampenda ila target yake kuu niliiona ni kuolewa maana ndan ya hiyo wiki akataka anitambulishe kwa baba ake, niliwaza sana na nilichokuja kugundua ni kwamba mambo yake hayakwenda vile alivyopanga hasa baada ya kufeli form 4,hivyo akaona mimi ndo option ya mwisho kwake.

Baada ya wiki aliondoka na ndo ukawa mwisho wa story, miaka 8 sasa imepita bado sijapata mbadala wake, bado najuta kwanini sikujenga naye maisha, hasira ziliniponza maana kuna ajabu gani mtoto wa o level kukukataa!

Mkuu fuata moyo wako, kama unampenda mchukue tu.. mimi nataman siku zirudi nyuma ila ndo hivyo haiwezekani!
Maandiko matakatifu yako wazi mungu kwanza mengine badae
 
Kaka apo 100% ni Jumba Bovu sikushauri kuwa nae...Apo karuka ruka wee kaona mambo sio mambo anae mtaka hamtaki sasa anatafuta atakae mtaka...cha kufia nini si alijitia jeuri funika kombe nasema funika. Nakushauri ivi kwasababu lolote litakalo kuja kutokea uko mbeleni tofauti na matarajio yako ndugu yangu utakuja kulalamika sana na utapata stress mbaya haijawai tokea.

Good thing ni kwamba alisha kutoka japo sio mazina as you said ila fanya mishe zingine mpotezee atakutoka kabisa. Wanawake wapo wengi Kaka songa mbele kama ambulance uku unalia. ukifika utanyamaza
Tena toleo jipya kontena kibao mtaani.
Aachane na huyo aliyefeli...karingakaringa sasa hv anaona hana soko!
 
Tatizo la huyu mwamba anampenda sana prisca halafu anahisi hawezi kupata mwingine mithiri ya prisca
 
kuna dem nlitongoza kitambo kidogo akaniletea mapigo kama ayo, sasaivi jua limezama ananisumbua sana japo sija oa lakini simpendi kama ilivyo kipindi cha mwanzo, nimepiga then nimemute yaan najifanya nipo busy sana sasaivi anateseka yeye kunililia kama ilivyo mimi mwanzoni, lazima tutese kwa zamu, wewe chapa kwanza sasaivi ila tumia kinga fresh then kuhusu future wewe na yeye basi moyo na wakati ndio vitaamua.
 
Hizo mambo zinatokeaga sana hasa pale mtu alikuchukulia poa anapata challenge inayomsumbua anakosa msaada huwa anakumbuka watu wote na umuhim wa kila mmoja katika maisha yake . Hapo ndio thamani ya mtu alomdharau mwanzo huonekana. Na hii sio kwa madem tu hata kwa washkaji huwa inatokea. Mwanzo mwana anakuwa hater kinoma baada ya muda mkikutana anakuzingatia kinouma hadi unajistuki. Kumbe ndo maisha yashampiga huko anakumbuka kuwa unaweza kuwa msada kwake ko inabidi awe mdogo
 
Nenda mkapime kwanza, then piga mzigo haiwezekani akuumize kihisia hivi hivi

Katika list ya waliopita nae jitahidi na wewe uwepo

Kuhusu ndoa, hilo ni maamuzi yako mzee
 
Asa mtu yuko form 6,nyie mnasema ni mtoto

Yaani form 6 ni mtoto??, acheni zenu nyie
 
nakushauri mwambie ya moyoni alivyokutesa kwa kukukatalia sema wazi tu kuwa moyoni mwako kapungua/hayupo kabisa, mkuu hicho kinachokutatiza kitue weka mambo wazi.
 
cha kwanza aje kwanza upige vema kabisa afu mengine yatajipanga yenyewe usijali najua bado unakua ndio maana nimekushauri la hasha nisingefanya hivyo
 
Natamani JF ingekua na uwezo wa Kutuma Voice note...


Anyways huyo dada anajijua yeye mzuri sasa wewe hukua type yake wakati mpo shule akawa anacheza na monta wenu ndo alikua type yake. Kaenda UDSM keshachezewa vya kutosha type yake sio type zao sasa kaona arudishe mpira kwako kwa kua anajua ulikua unampenda at one point. Huyo akija jmoc anakuja tayari kwa kuliwa. Na ukimla tu basi hakuachi huyo. Danny Unataka kumla au hutaki? Kama unataka kumla kulipiza alivyokua anakukataa enzi za shule, hapa nakushauri kama mwanamke peleka hiyo manzi gesti/lodge tena usimfuk bila condom. Huyo sio manzi ya kula getto atakuganda sana. Piga pita hivi ikiwezekana hata kwako asipajue.... labda ana mimba anaitaftia baba. Akili kumkichwa.
Hii comment imenifanya nitamani ungekuwa Dada yangu.

You are so honest and caring.

Ni wanawake wachache sana walio tayari kuwasaidia wanaume wasiraruliwe na makucha ya wanawake wenzao.
 
Yale yale kijana mbichi anataka kuowa malaya!

"Hakupendi huyo, ila tu anakuja kwako kupooza machungu kwa sababu aliowataka yawezekana kagombana nao. Sasa we jiangalie wewe unampenda ama humpendi?".

Siyo maneno yangu ni maneno ya rafiki yako Kishore,hivi kwani wewe mgeni humu?huwa hukutani na mada zinazohusiana na kusisitiza sana kuowa mwanamke bikra?na huyo anayejitongozesha kwako kiasi hiko umri umeshamtupa na huko alikotoka hakuna hata aliyemwambia kwa utani nakuowa ameona bora ajiegeshe kwako na wewe unaweweseka kabisa “nataka kuowa sitaki kuchezea” umejipa muda kujiuliza wangapi wamemchezea hadi uje wewe kukokotana naye akimiliki kopo la choo cha stand katikati ya mapaja yake?

Acha undezi.....nakwambia tena acha UNDEZI!!!
Ukweli mwenyewe nimeshangazwa na jamaa kuomba ushauri kwenye hatari kama hii.
Alitakiwa atekeleze uamuzi wenye mrengo kama hii comment yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom