Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 335
- Thread starter
- #241
Si jambo zuri kutoa namba bila ruhusa ya mhusika.Naomba namba yake nimuulizie kama yupo serious na wewe
Si jambo zuri kutoa namba bila ruhusa ya mhusika.Naomba namba yake nimuulizie kama yupo serious na wewe
Asante sana.Mkuu, huyo demu hakupendi, sikiliza maneno ya rafiki yako. Just kula mzigo then move on. Huyo demu anajifanya kukutafuta kipindi hiki kwasababu mapenzi aliyoinvest miaka hiyo yaliishia shimoni. Believe me, atakusumbua sana ukimpa moyo wako.
Kwasasa hana cha kufanya kwasababu hana mtu wa maana anayempenda kwa dhati thats why amekutafuta wewe bwege mtozeni wake. Akipata anayempenda kwa dhati hatofikilia hata kwa dakika kukuacha!
Hayo yalitaka nitokea mie though kwangu mie ni tofauti kidogo. Maana mie alinikubalia, bahati mbaya yeye alifeli na mie nilifaulu. Nimpenda sana and so sikujali ufaulu wake. Niliendelea n advance yeye akaenda veta. Alianza leta usumbufu wa kutopokea simu na kujibu hovyohovyo. Nikaamua kumsahau. Kaja nitafuta nikiwa naingia chuo mwaka wa kwanza, mixer anapiga simu mpka kuniuliza kama nimekula, offcourse moyo ulitaka niendelee naye pale tulipoishia but akili ikakataa.
Nimemaliza chuo ikabidi nimchane live tu kuwa siwezi kuwa naye maana alishapoteza chance yake kipindi kile nipo shule, afterall alishazalishwa na jamaa haeleweki kama atamuoa.
Take care chief.
Asante sana dada.Kakukubali bahati mbaya..
Maana am sure she wasn't single mlivoonana Makumbusho.
Ila umetokea wa ahueni ya alienae mda huo. Si ajabu pia anapima kwanza kuona ka bado unamshobokea ka mwanzo. Akicomfirm tuu umo basi gwaride litaanza(kukutesa)
Asante sana kaka. Kuhusu swala la kulika akiwa chuo hilo halina ubishi. Ni msichana mzuri sanaForm 5, alikuwa bado ana akili za kitoto...na kwa kuwa unataka mke basi mpe nafasi, mkaribishe, mtoke muende sehemu iliyotulia ya wazi (siyo kwako wala lodge) umsikilize, mdadisi na pia ujaribu kuuliza kwa waliosoma udsm tabia zake n.k...sikushauri kumla bila kujua historia yake tangu mlivyomaliza form 6. Sikushauri kabisa kumla kama ataanza kujirahiisha ili umtie siku ya kwanza kukutana.
Kuhusu kuliwa sana hiyo ni kawaida, kwa wanafunzi wa chuo, wakimaliza chuo wanakuwa wamechapika kweli kweli hasa kama alikuwa ni slay queen, ila siyo wote.
Mahusiano ya shule na chuo kwa asilimia kubwa hayana clarity in terms of future, things don't work out, you move on...haina makombo. Ila onyo usimle bila kumfahamu vizuri
Sawa kaka, acha nijaribu urafiki.Prisca alikuwa sahihi kukukataa akiwa kidato cha tano na sita.
Kwa sasa acha awe rafiki kwanza, kama kuna masahibu yoyote yametokea utajua tu.
Si sahihi kumhukumu mtu mzima kwa makosa aliyofanya akiwa mtoto.
Awe rafiki kwa sasa.
Kama utaona kuna sababu ya kuanzisha mahusiano basi kila la kheri
Hapana hakuniambia ila kinachotokea sio cha kawaida kwa msichana mzuri kama yeye kunipigia simu mie
Tumekupa tahadhari mengi utajuwa mwenyewe maana demu mwenyewe hatumjuinhata suraSidhani kama anaweza kuwa na wazo la kunifanyia mimi roho mbaya maana sikuwa mkosea chochote.

Nimekuelewa japo hujasema moja kwa moja kaka. Kuna mdau hapo kaniambia vyuoni waschana wanalika sana.Monitor, crs, Wanyamwezi wa ud, sponsors for phone, Lectures for marks
Kishoro the GENIUS
Ila kaka ulifika mbali sana, mpaka kuchana mwili na wembe ?Hili suala lipo""" Nami nilishawah kataliwa sana kipindi cha nyuma huko"" 2014 hiv!!! Nilimpenda mno jacky!!!
Nakumbuka niliwah kumbembeleza day 1 hivi""" mchana mpka nilipiga magoti na machoz!! (Stend ya mabas ilikua)
Kisa alikua ki"chuo flan hiv! Afu mi msela wa mtaan!! Yaan sio type yake
Kmmk!!!!!!! Kimaelezo kutoka kwake""
Mkono wangu wa kushoto nilichora jina eruf! Ya kwanz ya Jina lake" kwa kutumia wembe"""" damu iliruka aswaa"" ajabu sasa"" wala akustuka zaid ya kusema nitolee uchuro wako hapa""""
Jack"" huyu alisababisha nionekane fala kwa ndugu zangu wote""baada ya kugoma kula kwa siku 2 mpka nguvu zikaniisha"""
Mkuu nilipambana mnooooo......
Kusaka life kwa hasira"
Japo sina elimu kubwa...naishukulu serikali iliniona"" nikala shavu upande mmoja hivi;;;;;
Nilikutana nae 2019 hapo Nov""""alinitunuku nilimla na"kumuacha mkuu"" japo analia lia sana kweny social net!!!......to be cont.....
Wengi wamekushauri eiza uachane nae au uchape usepe. Mimi nitakushauri tofauti kidogo. Hebu kwa sasa mtazame Prisca kama mtu aliyepevuka na anaejitambua. Unakosea kumlaumu mtu wa form 5 kukukataa kimapenzi!!! Huyo alikuwa mtoto jomba. Kweli wewe ulivyokuwa form 5 kiakili ndio ulivyo sasa? Na inaonekana bado unampenda Prisca, acha ligi zisizo na future, kwa sasa wote mmeshapevuka tuliza mpira. Mpe nafasi wala usichukulie maubishani ya form 5. Mpe nafasi, pimeni afya jenga familia kijana. Kweli ulinganishe maisha ya kwenda bichi komba na monita ndio yakunyime future na umpendae?
Kaka nashkuru sana. Nimeelewa sana hayo maelezo niliyoya-bold.
Naamini ingekuwa anakupenda kweli asingesubiri mapenzi hayo ayaoneshe kwa tukio la ghafla hapo stendini bali angefanya namna yoyote kukupata kwani kwa vile nyie mlifahamiana mkiwa shule ni kwamba mna mtandao wa 'classmates' kwa hiyo hata asingeshindwa kupata mawasiliano yako. Je, msingekutana hapo stendini ingekuwaje?
Asante
Kiukweli sijawahi kutongozwa na mwanamke mimi, kwahiyo hakuna mwanamke niliwahi kumkataa. Ila labda kukataliwa ndio sana tu.Kwani wewe mleta mada, ujawahi kuwakataa mademu waliokupenda ila baadae ukagundua wako fire kinyama
Sio kunduchi ni makumbusho usichanganye maswala me ndo kishoro mshikaji wake mwanaAchana nae bwana kwan msingeonana kunduchi ingekuwa vipi afu hujiulizi hyo speed alokuja nayo
Upo sahihi brother!Mwanamke wa hivi hapendi....anatafuta kula yake tu...
Na akishashiba atakubadilikia hutaamini.
Hawezi kumuacha lazima amkule kwanza mengine yatafuata.yap akimuacha atamdharau
Haina shida maana hiyo sio nyumba ya jamaa, ni ya kupanga. Akiona demu analeta za kuleta anahamia kwingine










Umeshasahau wewe ulitoa wapi namba kwa mara ya kwanzaSi jambo zuri kutoa namba bila ruhusa ya mhusika.