Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Haya yote ni masuala ya utamaduni wa kijinga wa hizi nchi masikini za kiafrika.Nchi zilizoendelea kama sweeden,Norway,e.t.c mwanamke huwa anaingia kwenye mahusiano kwa sababu ya kumpenda mtu,kwa sababu atakosa furahaa kama ataishi bila ya huyo mtu.Kwenye nchi hizo mtu anaweza kuingia kwenye mahusiano akiwa na miaka hata 80 kwa sababu ndiyo muda/umri ambao maybe amepata mtu anaempenda.Huo ndo ukweli aise.hakuna kitu inamsumbua mwanamke kama umri umeenda,mtoto huna,hutongozwi,wala hakuna simu inayopigwa usiku ya kimapenzi zaidi ya simu za kazini na mwisho ni saa kumi jioni,na hakuna mwanaume ambae anataka kutengeneza fyucha na wewe..aise acha hiyo kitu bhana..
Mwanamke ambae Amekosa vyote hiyo na yuko sawa kabisa basi huyo ako na shida ya maana
Kwenye nchi zilizoendelea mtu haiingii kwenye mahusiano kwa sababu ya umri kwenda au kwa sababu ya kupata mtoto.Kuingia kwenye mahusiano kwa sababu umri umeenda au kwa sababu ya kuzaa huo ni ufala na umasikini wa akili.Maisha ni mafupi sana,kuna umuhimu wa kutanguliza furaha mbele kuliko chochote kile.


