Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Hakuna mapenzi hapo. Sikushauri umkaribishe hata nyumban kwako. Endelea kuwasiliana nae tu kama rafiki hata kumla isimle.
 
Nimechelewa kuona uzi wako, nyie wote ni watu wazima na mna akili timamu. Kutana nae, Ongea naye kama kawaida, utajua tu uhalisia wa mambo, uchukue hatua stahili.
 
Huyu msichana nilisoma nae 'A' level katika shule fulani hapa Dar es salaam. Darasani kwetu hakuna ambae hakumjua maana alikuwa msichana mwenye sura nzuri sana tena kuliko wote darasani. Ila hakuwa social kiviile. Alikuwa na rafiki zake aliowazoea na hakupenda mazoea sana.

Sasa mi nikawa nimempenda. Nikaanza kumtongoza tokea tunaanza form five. Kipindi ambacho mimi ndo nilikuwa mtu wa kwanza kumtongoza pale shuleni lakini alinikataa. Baada ya miezi mitatu nikapiga moyo konde nikamtongoza tena akakataa nikapotezea.

Tukiwa tunafanya mitihani ya mwisho tunaingia form 6 nikasema ngoja nijaribu tena nikamtongoza tena kwa mara ya tatu akakataa. Nikamuomba namba ili tuwe tunawasiliana maana kuna rafiki yangu mmoja 'Kishoro' (bado marafiki mpaka sasa) alinishauri bora niwe naenda nae taratibu niwe nawasiliana nae namuhonga honga vocha, na ukizingatia kilikuwa kipindi cha mitihani tunakaribia kwenda likizo. Nikamuomba namba akaninyima.

Baadae tukiwa likizo nikaitafuta namba yake kwa mtu mwingine. Nikampigia simu akawa ananijibu kwa mkato ili maongezi yaishe nikimtumia meseji hajibu kabisa.

Nikaacha kuongea nae tukaingia form 6. Nikawa najaribu kwenda nae taratibu nikawa nalazimisha urafiki. Akawa ananikwepa kwepa. Hataki story na mimi. (Inauma sana aiseee!). Kuna siku nilimuomba twende Kunduchi beach jumamosi kila kitu nitalipa mimi (baada ya kukopa sana maana mwanafunzi hela unatoa wapi ?). Akakataa nikaja kuskia Jumamos alienda Beach kombo na monitor wetu nilikuja kuambiwa baada ya kumaliza kuwa wakati tunakaribia kumaliza alianza mahusiano na monitor.

Tukiwa tunakaribia kufanya paper ya Form 6 nikataka nimtongoze tena akakataa kuongea namimi. Ila tu nikamwambia "Sawa. Ila hakuna msichana nilikuwa nampenda kama wewe". Hakujibu akaondoka. Tukafanya paper tukamaliza.

Toka tumemaliza form 6 sikuwahi kuonana nae tena. Nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita(degree). Kazi nnayoifanya ni tofauti na niliyosomea. Sio ya maslahi ila inaniwezesha kuishi Dar. Nilishamsahau maana hatujaonana mda mrefu. Sasa juzi(jumatatu) niko makumbusho nasubiri daladala ya ubungo nikashangaa naguswa bega. Kugeuka ni yeye. Moyo ukapiga paa. Nilishangaa sana maana hakuwahi nianza mazungumzo wala kunisalimia popote.

Akaniambia Danny za siku nyingi nikamwambia safi. Tukaongea sana. Sana, tukakumbushana watu tuliosoma nao, mambo ya shule. Ila Gari la Kunduchi lilipofika akataka kupanda aondoke. Akaniambia "Danny naomba namba yako tuwasiliane." Nikashangaa sana. Nikampa namba.

Nilivofika nyumbani nikawaza sana kwamba kinachotokea ninaota? Prisca wakuniomba mimi namba ? Mimi ambae miaka kadhaa iliyopita alininyima namba yake nikaitafuta kwa mtu mwingine ?

Ilivyofika saa tano kasoro akanipigia simu nikapokea. Tukaongea stori kibao. Hakusema kwanini amenipigia zaidi ya story za hapa na pale. Akanipa story za UDSM (mimi nilisoma SAUT). Baadae tukaagana nikalala. Ila asubuhi wazo la kwanza lililonijia ni kuwa yawezekana Prisca anataka kunikubali sasa hivi. Maana haiwezekani Prisca anipigie mimi Danny simu hivihivi. Tena Prisca, anipigie mie simu ?

Jumannne hatukuwasiliana ila Jana jumatano alinipigia simu mchana akanilaumu sana kwa sauti ya mapenzi mbona sikumtafuta siku ya Jumanne ? Mi nikamwambia 'sikuwa na vocha' ila sikuwa na sababu ya kumtafuta kusema ukweli. Tukiwa tunaongea na simu hiyo jana akaniuliza vipi wifi mzima ? Nikamwambia sina mwanamke. Akaniambia anataka kuja kunitembelea Jumamosi. Nikamwambia nikipata muda ntakwambia.

Nikakutana na Kishoro kumuomba ushauri. Alichoniambia ndicho kinachonifanya nilete uzi hapa.

Kishoro alisema: "Hakupendi huyo, ila tu anakuja kwako kupooza machungu kwa sababu aliowataka yawezekana kagombana nao. Sasa we jiangalie wewe unampenda ama humpendi?".

Mimi, naweza sema nampenda ila sio sana kama nilivyokuwa nampenda kipindi kile; ni kama alinitoka kiukweli, ila sijiskii vizuri kumpotezea. Nipo single na nataka KUOA(sitaki mahusiano ya kucheza cheza) lakini nafsi yangu inasita kumuoa yeye.

Ila pia maneno ya Kishoro yanajirudia rudia sana kwenye akili yangu "Hakupendi huyo, do for your own risk."

Halafu mimi mwenyewe nashangaa. Alivyokuwa ananitreat kipindi kile, leo hii Prisca ananipigia simu ? Ananiuliza mbona sijamtafuta ? Halafu anataka kuja kunitembelea ? Huyu ni Prisca kweli au naota ndoto za mchana ?

Anyway, Yawezekana humu kuna watu waliwahi kupitia kisa kinachofanana na changu na wangependa kushare uzoefu wao jinsi walivyoshughulika na hivyo visa. Ntafurahi nikipata kuskia kutoka kwenu.

Lakini pia dada zangu mtanisaidia maoni yenu; Je, inawezekana kwa mwanamke ambae alikuwa hakupendi miaka ya nyuma akaja kwako kwa upendo wa dhati?

NB:Kuna vitu vingi nimevitoa ili kufupisha story, kama bado ndefu mniwie radhi
Mi kwa jinsi ninavopenda kulipiza visasi sipati picha ingekuaje

Revenge it's sweeter when it's double
 
Nyota njema uonekana asubuhi jomba! angejapo kupa ahadi ya mapozeo mapema lkn aliku dump!! jisogeze kwake uone kila dawa ya limbwata Monitor atazalisha wewe utalea, km siyo upate ukimwi, ugumba wa kudumu mpaka ukae chini,

alitumika wapi leo anakuletea weye kilichotumiwa na monitor? na wewe ulivo bwege unakubali unakubali kula matapishi ya vidume wenzio tena monitor unamjua kabisaaa! Umelogwa??? nilicho mfanyia Misca hatasahau ndo km wewe!!!
 
Mkuu tupe mrejesho mkuu.

Kama bado hajakutembelea usisahau kuvaa ndomu hata 7 kwa pamoja!
 
Mimi nilimtongoza my Best friend miaka miwili,hataki,anataka tuwe marafiki tu,,siku moja nikamtongoza rafiki yake wa karibu Sana,alipopata habari siku ile ile akanipigia akaniuliza kwanini nimemtongoza rafiki yake??nikajibu tatizo nini??akasema rafiki yake Malaya,ili kunisaidia bora anikubalie tu..plus nimemtaka miaka miwili bora anionee huruma,tuka date kwa muda mfupi then akaniacha kwa maumivu makubwa,after months alipoenda nae kaachika anapiga simu kwangu turudiane anajuta alichonifanyia haha GIRLS GIRLS GIRLS
 
Man jipe muda wa kumchunguza and cheki tabia zake kama utaona zinaridhisha then fanya maamuz hakuna binadam asiekosea sahau ya nyuma and live inside the moment...
Follow your heart
Happy new year in advance
 
Natamani huu uzi ningeusoma within a time bahati mbaya imekua kwa kuchelewa,,

Bad thing in life is when a man say YES! instead of saying NO! or vice versa.

Kiuhalisia hapo yeye alikuweka wewe wa akiba michongo yake imebuma sasa ndo akakugeukia wewe ili umstiri..
 
Nahisi kama umeiba story yangu yani. Ilitokea the same. Mimi nlichofanya, nilitombaaaaa saaanaa.. Nikatombaaa kweli, halafu nikaanza jeuri. Jeuri ya hadi akajidharau. Kisha nikamwambia "niliumia sana, nimelipa kisasi, sikupendi". Nikapiga chini. Sometimes tusiusahau uanaume wetu..
 
Kama uliweza kumpenda akiwa anavaa lisketi bwanga la shule bila make up na wigi,mpe nafasi ya pili usajili wa dirisha dogo,
Mwanamke hata kama alidanga au alikua muuza vocha akiamua kukupenda na kutulia na wewe,Hakika amini amini nakuambia kuwa mke mwema hutoka kwa bwana.
 
Huyu msichana nilisoma nae 'A' level katika shule fulani hapa Dar es salaam. Darasani kwetu hakuna ambae hakumjua maana alikuwa msichana mwenye sura nzuri sana tena kuliko wote darasani. Ila hakuwa social kiviile. Alikuwa na rafiki zake aliowazoea na hakupenda mazoea sana.

Sasa mi nikawa nimempenda. Nikaanza kumtongoza tokea tunaanza form five. Kipindi ambacho mimi ndo nilikuwa mtu wa kwanza kumtongoza pale shuleni lakini alinikataa. Baada ya miezi mitatu nikapiga moyo konde nikamtongoza tena akakataa nikapotezea.

Tukiwa tunafanya mitihani ya mwisho tunaingia form 6 nikasema ngoja nijaribu tena nikamtongoza tena kwa mara ya tatu akakataa. Nikamuomba namba ili tuwe tunawasiliana maana kuna rafiki yangu mmoja 'Kishoro' (bado marafiki mpaka sasa) alinishauri bora niwe naenda nae taratibu niwe nawasiliana nae namuhonga honga vocha, na ukizingatia kilikuwa kipindi cha mitihani tunakaribia kwenda likizo. Nikamuomba namba akaninyima.

Baadae tukiwa likizo nikaitafuta namba yake kwa mtu mwingine. Nikampigia simu akawa ananijibu kwa mkato ili maongezi yaishe nikimtumia meseji hajibu kabisa.

Nikaacha kuongea nae tukaingia form 6. Nikawa najaribu kwenda nae taratibu nikawa nalazimisha urafiki. Akawa ananikwepa kwepa. Hataki story na mimi. (Inauma sana aiseee!). Kuna siku nilimuomba twende Kunduchi beach jumamosi kila kitu nitalipa mimi (baada ya kukopa sana maana mwanafunzi hela unatoa wapi ?). Akakataa nikaja kuskia Jumamos alienda Beach kombo na monitor wetu nilikuja kuambiwa baada ya kumaliza kuwa wakati tunakaribia kumaliza alianza mahusiano na monitor.

Tukiwa tunakaribia kufanya paper ya Form 6 nikataka nimtongoze tena akakataa kuongea namimi. Ila tu nikamwambia "Sawa. Ila hakuna msichana nilikuwa nampenda kama wewe". Hakujibu akaondoka. Tukafanya paper tukamaliza.

Toka tumemaliza form 6 sikuwahi kuonana nae tena. Nimemaliza chuo miaka miwili iliyopita(degree). Kazi nnayoifanya ni tofauti na niliyosomea. Sio ya maslahi ila inaniwezesha kuishi Dar. Nilishamsahau maana hatujaonana mda mrefu. Sasa juzi(jumatatu) niko makumbusho nasubiri daladala ya ubungo nikashangaa naguswa bega. Kugeuka ni yeye. Moyo ukapiga paa. Nilishangaa sana maana hakuwahi nianza mazungumzo wala kunisalimia popote.

Akaniambia Danny za siku nyingi nikamwambia safi. Tukaongea sana. Sana, tukakumbushana watu tuliosoma nao, mambo ya shule. Ila Gari la Kunduchi lilipofika akataka kupanda aondoke. Akaniambia "Danny naomba namba yako tuwasiliane." Nikashangaa sana. Nikampa namba.

Nilivofika nyumbani nikawaza sana kwamba kinachotokea ninaota? Prisca wakuniomba mimi namba ? Mimi ambae miaka kadhaa iliyopita alininyima namba yake nikaitafuta kwa mtu mwingine ?

Ilivyofika saa tano kasoro akanipigia simu nikapokea. Tukaongea stori kibao. Hakusema kwanini amenipigia zaidi ya story za hapa na pale. Akanipa story za UDSM (mimi nilisoma SAUT). Baadae tukaagana nikalala. Ila asubuhi wazo la kwanza lililonijia ni kuwa yawezekana Prisca anataka kunikubali sasa hivi. Maana haiwezekani Prisca anipigie mimi Danny simu hivihivi. Tena Prisca, anipigie mie simu ?

Jumannne hatukuwasiliana ila Jana jumatano alinipigia simu mchana akanilaumu sana kwa sauti ya mapenzi mbona sikumtafuta siku ya Jumanne ? Mi nikamwambia 'sikuwa na vocha' ila sikuwa na sababu ya kumtafuta kusema ukweli. Tukiwa tunaongea na simu hiyo jana akaniuliza vipi wifi mzima ? Nikamwambia sina mwanamke. Akaniambia anataka kuja kunitembelea Jumamosi. Nikamwambia nikipata muda ntakwambia.

Nikakutana na Kishoro kumuomba ushauri. Alichoniambia ndicho kinachonifanya nilete uzi hapa.

Kishoro alisema: "Hakupendi huyo, ila tu anakuja kwako kupooza machungu kwa sababu aliowataka yawezekana kagombana nao. Sasa we jiangalie wewe unampenda ama humpendi?".

Mimi, naweza sema nampenda ila sio sana kama nilivyokuwa nampenda kipindi kile; ni kama alinitoka kiukweli, ila sijiskii vizuri kumpotezea. Nipo single na nataka KUOA(sitaki mahusiano ya kucheza cheza) lakini nafsi yangu inasita kumuoa yeye.

Ila pia maneno ya Kishoro yanajirudia rudia sana kwenye akili yangu "Hakupendi huyo, do for your own risk."

Halafu mimi mwenyewe nashangaa. Alivyokuwa ananitreat kipindi kile, leo hii Prisca ananipigia simu ? Ananiuliza mbona sijamtafuta ? Halafu anataka kuja kunitembelea ? Huyu ni Prisca kweli au naota ndoto za mchana ?

Anyway, Yawezekana humu kuna watu waliwahi kupitia kisa kinachofanana na changu na wangependa kushare uzoefu wao jinsi walivyoshughulika na hivyo visa. Ntafurahi nikipata kuskia kutoka kwenu.

Lakini pia dada zangu mtanisaidia maoni yenu; Je, inawezekana kwa mwanamke ambae alikuwa hakupendi miaka ya nyuma akaja kwako kwa upendo wa dhati?

NB:Kuna vitu vingi nimevitoa ili kufupisha story, kama bado ndefu mniwie radhi

Huyo ndo mwanamke wa kuoa sasa..mwanamke ambae hababaishwi na mtu adi nafsi yake inapomwambia hapa ndipo..ulitaka mwanamke ambae ukimwambia nakupenda akukubalie? Anatongozwa na wangapi adi akukubalie wewe vizuri na angekua na tabia ya kuwalegezea wanaume si angekua kashatumika sana,ungempenda?

Kuna mwanamke mwengine angependa akuone upo na gari yako na nyumba yako ndo angekubali kua na wewe..huyo anakuona unapanda daladala na anakupa mazingira kabisa..okota dodo ilo
 
Changamoto yangu kaka ni Je, tutaishi kwa upendo maana sijui kama kweli kaja kunikubali kwa moyo mkunjufu au la !!!

Mimi niwe mkweli mwanangu!

Yaani, always, kuna first, Second and third choice.

Vyovyote vile, wewe haukua first choice yake.

Demu katetereka mahala, sasa your likes are her priority.

NB: Mimi kama mimi, siwezi kuwa second choice ya mwanamke nitakae muoa, ila simaind kua hata third choice kwa mwanamke wa kutiana nae tu kisha nasepa or sina future nae.

But the matter of fact ni kwamba: Wanawake kama yeye, tayari dunia imesha wanyoosha yakua Kupendwa hasa ni nadra, wengi ni wapigaji tu na wanasepa haraka sana mara tu wakila mzigo. If you still love her, na kwakua ulikua kwenye daladala, meaning wewe ni kapuku na hakuja kwako kwaajili ya hela ila kakumbuka how you loved her, anataka labda kuona kama bado unampenda vile azime Gari mazima.

All-in-all, amekufuata na kukupigia simu, na kukulaumu kwanini hukumtafuta kama ishara ya majuto, huyo anajuta kwakua waliompenda ni wengi kazingua kwakua hawakua her first choice, sasa kaonana na wewe kama zari.

Trust me, if you still love her give it a shot, SON.

Huyo atakuheshimu na kukupenda sana ukimkubalia kwakua anajua makosa yake.

Up to you, SON.
 
"Qualities that make a good long term partner (the Good Dad) and the qualities that make for good breeding stock (Good Genes) only rarely manifest themselves in the same male." - Rationale Male

Je huyo demu hana mtoto ...? Ajazalishwa na mwanaume mwingine?
 
Ulikipost juzi, nimekisoma chote. Nimeona jinsi kinavyoapply in my prior and current experiences.

Thanks for sharing, ubarikiwe. Hiki ni kitabu cha kufungia mwaka.
 
Kwa maneno haya umeshaamua nini cha kufanya moyoni mwako,hapa unatafuta msukumo wa ziada tu.
Asante sana kaka. Kichwa kinaniuma sana. Ushauri wako ni wa msingi sana. Sometimes nawaza kuwa yawezekana umri unabadilisha mtazamo wa mtu. Yawezekana anatumia fikra ya kiutu uzima kutaka future na mimi.
 
Kaka apo 100% ni Jumba Bovu sikushauri kuwa nae...Apo karuka ruka wee kaona mambo sio mambo anae mtaka hamtaki sasa anatafuta atakae mtaka...cha kufia nini si alijitia jeuri funika kombe nasema funika. Nakushauri ivi kwasababu lolote litakalo kuja kutokea uko mbeleni tofauti na matarajio yako ndugu yangu utakuja kulalamika sana na utapata stress mbaya haijawai tokea.

Good thing ni kwamba alisha kutoka japo sio mazina as you said ila fanya mishe zingine mpotezee atakutoka kabisa. Wanawake wapo wengi Kaka songa mbele kama ambulance uku unalia. ukifika utanyamaza
Duuh "kama ambulance"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom