Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,195
Mwanamke wa hivi hapendi....anatafuta kula yake tu...Sjawah kuona comment yako yakigaidi kama hii,
Na akishashiba atakubadilikia hutaamini.
Mwanamke wa hivi hapendi....anatafuta kula yake tu...Sjawah kuona comment yako yakigaidi kama hii,
Asante kwa kunishauri. Ila inahitaji ukatili sana kutekeleza hili sualaAcha ufala wewe.....
Mkubalie aje Jumamosi kisha piga vizuri.... na mfulishe nguo kabisa.
Akishaondoka kwako zima simu na umkatie mawasiliano.
Huyo hakupendi hata kidogo maisha yamempiga anajitongozesha.
Wakati wa kumwaacha kuwa makini maana maisha hayahitaji hasira.
Kaka unaweza kueleza kidogo kwanini ni ngumu kufanya nae maisha ?Wanawake wengi wengi wengi wa hivi huwezi ukafanya nao maisha mkuu.
Kwanini unasema hivyo ?Mbona kama Wewe ni domo zege
Sasa ukatili wa nini?Asante kwa kunishauri. Ila inahitaji ukatili sana kutekeleza hili suala
Kama ungekuwa wewe ungefanya jambo gani ?Amua mwenyewe aisee sio kila ujio ni wa shari
Asante kwa kunishauri Kwanini unahisi sipaswi kufanya nae maisha ?Hamna mtu hapo, chapaa, alafu pita vile.
N:B Fanya yote usije ukasahau zana babaa, hujui Prisca yamemkuta yapi.
Let's meet at the top, cheers 🍻
Nieleweshe ninachopaswa kukielewa kaka.Tatizo unakichwa kidogo cha uelewa we ndo mtoto.. think twice...
Huyu mwanamke mwenzie kashaeleza utangulizi. TuttyfruityKaka unaweza kueleza kidogo kwanini ni ngumu kufanya nae maisha ?
Siwezi kuweka picha bila ruhusa yake kaka!Aisee pole sana. Hebu weka picha tumuone
Unaogopa kumuumiza mtu aliye kukimbia na kukuona huna maana , tafakari mze babaNaogopa kumuumiza kusema ukweli.
Sasa hapo kuna nini tena kama alishasema ujinga huo hapo mwanzo, huyo atakuletea matatizo mbeleni ushauri tu lakini.Hakuwahi kunieleza ila aliniambia "Danny mimi nawewe HAIWEZEKANI"
Huo ndo ukweli aise.hakuna kitu inamsumbua mwanamke kama umri umeenda,mtoto huna,hutongozwi,wala hakuna simu inayopigwa usiku ya kimapenzi zaidi ya simu za kazini na mwisho ni saa kumi jioni,na hakuna mwanaume ambae anataka kutengeneza fyucha na wewe..aise acha hiyo kitu bhana..Unachosema kina uwezekano wa kuwa kweli.
Changamoto yangu kaka ni Je, tutaishi kwa upendo maana sijui kama kweli kaja kunikubali kwa moyo mkunjufu au la !!!Form 5 alikataa tuseme alikuwa na masomo. Form 6 akatoka na monitor, ashajua mapenzi uhakika tunao. Chuo miaka mitatu, ongeza miwili ya mtaani. Jumla miaka 7 ambayo atakuwa na range ya umri wa 25-27. Ndo muda wake wa kuolewa hivo anatafuta penye upendo wa kweli ashaachana na walamba lips maana hawamuoi
Kama unampenda hii ndio inaweza kua nafasi yako kwake ila kama mdau alivyosema hapo awali take your brain with you.Kama ungekuwa wewe ungefanya jambo gani ?
Inaonekana Danny anataka kufanya maisha na prisca 😂Huyu mwanamke mwenzie kashaeleza utangulizi. Tuttyfruity
Wanawake kuna kitu wanaita type au hadhi.
Hata siku moja mwanamke hawezi mpenda mwanaume ambaye sio type yake...
Ila atamhitaji mwanaume asiye wa type yake anapokuwa na shida... na shida yake ikiisha hamjuani.
Wa hivi hawaridhiki...ukioa utakuwa mwenyewe ndoani.