Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Naunga mkono hoja,,,,7yrs !!!
Amechukua point of weakness ya wewe kumpenda, sasa anaona huwezi pindua,
Piga alafu mwache solemba...akikutana na mabaharia kama sisi na ndogo analiwa alafu tunapotezea, jino kwa jino...Torati izingatiwe...
Kuna wanajukwaa walinishauri kuwa yawezekana ni 'gusa unase' yaani nisije nikaonja halafu nikanogewa.
 
ACHANA NAE,
ulimtaka hakukutaka, anakutaka kwa muda anaotak yy wewe unamtaka.
ukikubali aingie katika maisha yako she wins, you lose.
hakuna pride yoyote kulala na women wasiostahili.
dont lose your dignity man, wewe sio rebound samaki wapo wengi baharin
Asante sana
 
Mimi nafikiri tangu mwanzo alipaswa kumdanganya mahali pa kuishi alivyomwambia amepanga naona kama kakosea ilipaswa angemwambia anakaa kwa braza hili kukutana iwe gesti mana mademu kama hawa umri ushakuwa shikamoo jazi anatafuta pa kufia apate ndoa, sasa uyu mjomba inabidi amkatae kibishi tu amkazie kuwa nilikuwa nakudanganya sina geto nakaa kwa braza hili akamtindue gesti hili awe anamsoma mdo mdo na akifanya kinyume na hivi walai ataleta uzi mwingine hapa wa majanga
Demu si atakuwa anakaa kwao lazima! Hivyo sioni kama jamaa kakosea sababu hata akimpiga mkojo demu lazma arudi kwao by the end of the day!
 
Wengi wamekushauri eiza uanchane nae au uchape usepe. Mimi nitakushauri tofauti kidogo. Hebu kwa sasa mtazame Prisca kama mtu aliyepevuka na anaejitambua. Unakosea kumlaumu mtu wa form 5 kukukataa kimapenzi!!! Huyo alikuwa mtoto jomba. Kweli wewe ulivyokuwa form 5 kiakili ndio ulivypo sasa? Na inaonekana bado unampenda Prisca, acha ligi zisizo na future, kwa sasa wote mmeshapevuka tuliza mpira. Mpe nafasi wala usichukulie maubishani ya form 5. Mpe nafasi, pimeni afya jenga familia kijana. Kweli ulinganishe maisha ya kwenda bichi komba na monita ndio yakunyime future na umpendae?
Huko kwenye five na six ndio huwa tuna mapenzi ya kweli,Prisca alikuwa hampendi mshkaji hata kwa mbali,kwa Sasa Prisca kapoteza dira anataka Pete so Bora apate hata ya mtu asiyempenda..karukaruka huko ndio aje ampe mshikaji makapi aendelee tu na safari
 
Demu si atakuwa anakaa kwao lazima! Hivyo sioni kama jamaa kakosea sababu hata akimpiga mkojo demu lazma arudi kwao by the end of the day!
Kabisa yani mimi tageti yangu kuwa demu hata kama anakaa kwao kupajua kwa jamaa naona kunaweza kukaleta usumbufu maana uwezi jua demu anaweza akapigwa mkojo akadata mwisho wa siku ikamletea shida jamaa
 
Huko kwenye five na six ndio huwa tuna mapenzi ya kweli,Prisca alikuwa hampendi mshkaji hata kwa mbali,kwa Sasa Prisca kapoteza dira anataka Pete so Bora apate hata ya mtu asiyempenda..karukaruka huko ndio aje ampe mshikaji makapi aendelee tu na safari
Ningekuwa mimi ningekuwa nakula mzigo sana tu naakikisha anakuwa skepa mara dufu alafu namkataa, nakumbuka juzi nilikuwa kwenye event fulani hivi kuna demu kipindi nipo chuo alikuwa ananata sana, juzi nimekutana nae anatia huruma hajaolewa sasa kwenye stori za hapa na pale nikamuuliza vp ushaolewa akajibu bado nikamuuliza mbona umechelewa alishtuka sana ikabidi nimpooze na tumemaliza chuo 2013, nyie wadada badilikeni alafu acheni dhalau mtakuja kuolewa mkiwa vikongwe msipo kuwa na adabu
 
Changamoto yangu kaka ni Je, tutaishi kwa upendo maana sijui kama kweli kaja kunikubali kwa moyo mkunjufu au la !!!

Kaka nakupa experience ya kike,HAKUPENDI....Kuna wakati huwa Mambo ya mahusiano yanaenda mrama mpaka unamkumbuka aliyekuwa anakupenda lakini ukianza mahusiano Wala hayanogi,ukiona hata call yake unajionea kero unless uwe na mkwanja mrefu.
 
Ningekuwa mimi ningekuwa nakula mzigo sana tu naakikisha anakuwa skepa mara dufu alafu namkataa, nakumbuka juzi nilikuwa kwenye event fulani hivi kuna demu kipindi nipo chuo alikuwa ananata sana, juzi nimekutana nae anatia huruma hajaolewa sasa kwenye stori za hapa na pale nikamuuliza vp ushaolewa akajibu bado nikamuuliza mbona umechelewa alishtuka sana ikabidi nimpooze na tumemaliza chuo 2013, nyie wadada badilikeni alafu acheni dhalau mtakuja kuolewa mkiwa vikongwe msipo kuwa na adabu
Huwa tunakuwa tuna watu tunaowapenda na matarajio nao kumbe ni mabazazi...matokeo tukishatendwa tunaanza kuangalia angali option B😁😁
 
Wanyooshe vidole wale wote waliooa wanawake ambao waliwakuta bikira au hawajawahi kudate na mtu yoyote, hao pekee ndio wanapaswa kumshauri Danny achape lapa...

Otherwise bwana mdogo Danny, katika kusoma andiko lako hakuna mahali ulipoweka bayana sababu ya wewe kukataliwa na Prisca mkiwa sekondari...

1.Kuna uwezekano binti alikuwa na mtu
2.Kuna uwezekano binti alifundwa vyema na wahenga zake
3.Kuna uwezekano hakuwa amepevuka akili kujua mwanaume anayemuhitaji maishani ni nani

Ushauri:
Anza mahusiano naye lakini pitia hatua zote za kumuelewa Prisca ni nani, na ni kwa nini akuhitaji wakati huuna sio wakati uliopita.

Tuchukulie kwa sasa ukamtosa Prisca, je huyo utayempata mwingine una hudubini ya kuweza kujua habari zake za zamani?
 
Huwa tunakuwa tuna watu tunaowapenda na matarajio nao kumbe ni mabazazi...matokeo tukishatendwa tunaanza kuangalia angali option B
Basi muwe mnajifunza msipo kuwa makini mtatinduliwa mpka muombee poo na ndio mana basi single Mama's ni wengi sana mtaani
 
Aisee niliwahi pata kisa kama chako, nafika tu form 5 moyo ukadondokea kwa binti mmoja wa shule ya jirani! Yeye alikuwa form 2..

Nilifanya jitihada zote nimpate, hakuonesha interest yeyote na mimi, kidume nakomaa lakini wapi (story yake naweza andika kitabu), mengi nilipitia na mengine ya aibu hata kusimulia, ningefanyeje na moyo ushapenda, miaka miwili yote mpka naondoka ule mji mambo yalikuwa bila bila ila atleast nilikuwa na namba yake!

Baada ya kuondoka kule akaja akanikubalia, nadhan ile kutaka kuniridhisha tu maana nilikuwa mbali na sina madhara, kuna kipindi nikiwa nshaanza chuo nikamfunga safari kumfuata, dah yan alinikana hadharan akadai hata kusema ananipenda huwa anajilazimisha tu, nilijibebesha mwenyewe maua na kadi, ikabidi nimpe tu, pengine aliyatupa huko mbele ya safari.

Nilipiga moyo konde, nikaamua kusonga mbele..sikupanga kumtafuta tena na yeye alijua hilo, na akabaki kimya. Miaka ikaenda nikamaliza chuo, nikawa nshaanza kazi na maisha yanaendelea.

Basi siku moja napokea simu akajitambulisha kwamba ni yeye, story zikawa nyingi kama huyo prisca wako, akauliza kama nshaoa na akadai eti ananipenda

Nikaona isiwe kesi, nikamuuliza nitaamini vipi sasa, akadai anakofanya kazi ana likizo tayari hivyo kabla hajaenda kwao atasafiri kuja kwangu atakaa wiki.

Sikuwa na kipingamizi, alisafiri na akapika na kupakua wiki nzima, kiukweli nilikuwa bado nampenda ila target yake kuu niliiona ni kuolewa maana ndan ya hiyo wiki akataka anitambulishe kwa baba ake, niliwaza sana na nilichokuja kugundua ni kwamba mambo yake hayakwenda vile alivyopanga hasa baada ya kufeli form 4,hivyo akaona mimi ndo option ya mwisho kwake.

Baada ya wiki aliondoka na ndo ukawa mwisho wa story, miaka 8 sasa imepita bado sijapata mbadala wake, bado najuta kwanini sikujenga naye maisha, hasira ziliniponza maana kuna ajabu gani mtoto wa o level kukukataa!

Mkuu fuata moyo wako, kama unampenda mchukue tu.. mimi nataman siku zirudi nyuma ila ndo hivyo haiwezekani!
 
Ukiona ivyo bado hujampata wa kufanana nae vuta subira ila usisahau kuomba kwa mungu wako angalizo usije oa digrii, na mastazii utakuja kunishukuru badae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom