Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

Ulishughulika vipi na kisa cha namna hii?

mimi ilishawahi kunitokea demu nilikuwa nae yaani akawawa ananisumbua as if mimi ni tegemezi sana kwake hata ukitaka gemu mpaka apate hamu yeye...akanipiga chini baada ya miaka akanifuata nataka turudikama zamani ....anasimulia nilimpelekesha plus kumla mara moko na kumtema napishana nae kashaanza kudanga kumbe alikuwa anataka kupoozea njaa zake kwangu....kulamzigo jiepushe akome..
 
Hii kitu ya kufanywa "rebounding balls" hata Kama position ya "kufunga" ipo naipinga kishenzi potelea mbali Kama utaniita mwanasiasa wa mapenzi lakini aliyekukataa akaenda huko alafu akatumia na wengine alafu akagonga mwamba alafu akiwa anarudi "kujitafuta" akutane na wewe aliyekuacha alafu umkumbushe ile Nia yako...Isee hapana!
Lengo sio kufunga Bali ni mchakato wenyewe Kuna Raha ya kuuangalia mchakato wenyewe wa kupatikana kwa goli bwana...Mimi kuwa rebounding guy hapana!
Well said bro! Nakuunga mkono mkuu, kwenye maisha siku zote hutakiwi kua second choice au second option ya mtu hasa kwenye mahusiano,, ni kweli unaweza kua unampenda mtu lakini lazima watu wajifunze kua na limit na conditions ,, sio kisa unampenda mtu basi ndo unaenda kichwa kichwa bila kushirikisha ubongo..
 
Acha ufala wewe.....

Mkubalie aje Jumamosi kisha piga vizuri.... na mfulishe nguo kabisa.

Akishaondoka kwako zima simu na umkatie mawasiliano.

Huyo hakupendi hata kidogo maisha yamempiga anajitongozesha.

Wakati wa kumwaacha kuwa makini maana maisha hayahitaji hasira.
we jamaaa
 
Mimi siwezi kukosa furahaa kwa sababu ya tamaduni za kipuuzi.Ndugu zangu walinilazimisha nioe eti kisa nazeeka,nikawaambia ninyi ndiyo mnakuja kuishi na huyo mwanamke au ni mimi?Sasa hivi wamenitenga eti kisa sitaki kuoa,yaani maisha yangu binafsi yanaingiliwa na watu kisa ni tamaduni!
Wewe hujaona wenye chura ukaoa??
 
Kama upo singo muoe utojutia ila kama upo kwenye mahusiano achana nao wanawake wa ivo uwaga wazuri sana ila uwe mkoroni uwe mbabe kwake mtaishi vzr sana...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom