Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Ulishawahi kutapeliwa na member wa JF? Ilikuwaje?

Ukishajiapiza kwamba huwezi kutoa assist ndani ya JF, basi utapeli utakaa mbali nawe...

Hapa huwa kuna wazee wa buku 1, buku 2, buku 5, buku 10...

Halafu kuna wale wachuchu matapeli wa mapenzi...

Halafu on top of em all kuna masela matapeli pia wa mapenzi hadi wakamfanya binti wa watu mwenye sweta rangi ya TZ aweke uzi hapa...
Aysee Mkuu nimefurahi kukuona
Heshima kwako
 
Nipo nimejaa tele kipenzi...

Mrs baada ya kujifungua akajisahau akanikalia vibaya.... Ona sasa yuko na ujauzito mwingine.

Nlikuwa nakushauri tu uwe makini na hili jamaa. Usisahau lilishawahi kutudanganya eti lilishawahi kuicharaza maiti makofi mochwari, eti kwa kuwa tu maiti ilijigeuza....

Hili pare fiksi dana wallah
Mrs baada ya kujifungua akajisahau akanikalia vibaya.... Ona sasa yuko na ujauzito mwingine😂
 
Dah..! Nimekumbuka kile kisa cha nyakati zile😂 Yaani kama sio wewe🙌🏿.. Mungu akubariki sana!
Huyo mwingine nilimroga😎
😂😂😂😂 Yule mtoto utoto Tu

itabidi nije msata unipike.kwakweli wananionea Sana
 
Back
Top Bottom