ngorokori
JF-Expert Member
- Sep 2, 2026
- 537
- 887
Ni wa uraiani mkuu. Humu siwezi tapeliwa na mtu chief.Duh pole sana mzee baba...
Hao wakora ni wa hapa JF au huku uraiani?
Ni wa uraiani mkuu. Humu siwezi tapeliwa na mtu chief.Duh pole sana mzee baba...
Hao wakora ni wa hapa JF au huku uraiani?
Ni wa uraiani mkuu. Humu siwezi tapeliwa na mtu chief.
Hao watu sio wa humu jf ni wa uraiani na siwajui kabisa.Ahsante! kwa ushuhuda, kiongozi. Elezea kilichokupata kwa faida ya wengine
Maliza tu mi sitaki😏Sawa, huku nikimsubiri njoo pm unitapeli kabla mshahara haujaisha wiki hii
Ukweli nimesema ntabakia kusaidia wazazi tu Hawa wengine watanisamehe. Msaada unaweza ukakuumiza sana. Nilipewa scenario na jamaa yangu mdogo wake alifunguliwa kesi mahakamani Kwasababu ya kumsaidia mtu pesa ya chakula then yule mtu akamuitia mwizi. Akakamatwa na kupelekwa polisi. Then yule dada aliesema ameibiwa anaulizwa anabakia kulia tu. Kesi ikabidi ifunguliwe. Dogo amshukuru brother wake ni kitengo unless otherwise ingekula kwake.Dah!
Watu wabaya sana ila ndio hivyo wakati mwingine tunajifunza kutokana na makosa
Umegoma kuingia nyavuniMaliza tu mi sitaki😏
Pole sana, kiongozi.Hao watu sio wa humu jf ni wa uraiani na siwajui kabisa.
Asubuhi ya Leo nilikuwa busy sana. Mara kidogo ikaingia sms kwenye simu yangu (namba nimeisave kabisa odo saada). Sasa bila hata ya kutafakari nkafanya muamala chap. Na bahati nilituma pesa kidogo nikamwambia nyengine mbaka nikope hii ni Kwasababu nilimpigia mama kumuuliza kama yeye akimpigia simu mdogo wake anapokea simu.
Mkasema ngoja nitume nusu ili mamdogo akipokea na kuthibitisha kama kweli huyo mtu yupo msituni ntamalizia kumtumia Kwasababu aliniambia yupo anadaiwa na mafundi waliomtengenezea gari yake ilioribika. Aaaaahseee we kumbe ndy ilikuwa imeshakula kwangu. Tena ningetuma ila baada ya kimya kidogo brother angu akanipigia simu kuniuliza nasikia mkwe amelazwa nimetumiwa message ya kumtumia pesa nkasema tayari nimeshapigwa pesa. Ndy nimepiga simu home wanasema ameibiwa simu.
Haijawahi tokea!Umegoma kuingia nyavuni
Ngoja nipande daraja nione huenda ikatokeaHaijawahi tokea!
Shukrani kiongozi. Ni kawaida mkuu haijaniuma Kwasababu haikuwa kwenye lengo.Pole sana, kiongozi.
Ndio aje hiyo?Ngoja nipande daraja nione huenda ikatokea
Ngoja nikabidhiwe wizara tuone kama haitatokeaNdio aje hiyo?
Inategemea na wizara broski.Ngoja nikabidhiwe wizara tuone kama haitatokea
Heeh! Kumbe kuna wizara nikiwemo huwezi jaa kifuaniInategemea na wizara broski.
Ndio!Heeh! Kumbe kuna wizara nikiwemo huwezi jaa kifuani
Mfano wizara ganiNdio!
Ya makapukuMfano wizara gani
Hio haipo, nitakuarika kwenye viti virefu soonYa makapuku
Haina noma mwanetuHio haipo, nitakuarika kwenye viti virefu soon