Ulishawahi kupiganiwa na wasichana?

Ulishawahi kupiganiwa na wasichana?

Lol! Hapana ban tuachie sisi kule kwenye siasa. Buku 7 zinakutusi hadharani unarudisha mapigo kupitia pm ili usiwaudhi swahiba humu. Cha kushangaza huyo aliyeanza kukutusi anatoka mbio kuelekea kwa mods BAK kanitukana BAK kanitukana matokeo yake unayajua.

dah! kumbe ban noma sana, hebu nipe jina la mod mmoja nimtukane niexperience ladha ya ban.
 
Kuna huyo mwalimu alikuja shuleni kufanya mazoezi ya kufundisha, mimi nipo form one, kila leo anaita jina langu, nikimwangalia machoni, dah, mzuri halafu kama anayalegeza vile! Alikuwa ananitia kiwewe sana, lakini mi form one naanzaje kumtokea! Mbaya zaidi alikuwa akitoa zoezi, wakati wa kusahihisha anasimama nyuma yangu huku ameniinamia, nyonyo zake kali kama ncha ya mkuki wa kimasai zinanichomachoma begani! Raha sana, sijui hata yuko wapi sasa.
 
Halafu shuleni enzi hizo haikuwa fair kabisa, kuna watu kosa dogo tu anapigwa suspension ya kufa mtu au kufukuzwa, lakini wengine kesi za mademu kila wiki, dah wapi suspension unaisikia tu!
 
Back
Top Bottom