Ulishawahi kupiganiwa na wasichana?

Ulishawahi kupiganiwa na wasichana?

Mi bado mpaka leo naacha ma legacy kila sehemu.

Mfano humu JF legacy yangu ni kuchapa mademu za watu 😀😀😀.

Ila mods noma sana. Washanilima ban bana....hahahaaa.
We ustaadh gania unajisifia uhuni hivyo, af mbaya zaidi ukute una madrasa ya watoto hapo dah, kazi kwelikweli!
 
Mi nlikuwa mtundu yani so funny na smart sana both physically na upstairs, hivyo watoto walinizimia mno coz kila aliekaa karibu yangu aliangua kicheko endlessly nikiwa napiga nao story, nakumbuka demu mmoja aitwaye Rosemary alinipenda mno tulikuwa tukihang most of the times akawa ananifata hadi kihome alikuwa pini huku na huku nae Sabra mtoto mmoja wa kimanga, sahivi ndio demu wa Tundaman.
Too bad sikuwa na courage ya kuwala enzi hizo natamani hata nirudishe time nyuma yani, loh🙁
 
me wakati wako wa nne wananigombania kuna kpind nkamkubal moja kwanza sababu aliwakandia rival wake baada ya siku tatu hvi siku hiyo alinishka shati shingoni mpaka akanikatia kifungo kwenye shati langu la tomato et ananiambia niache cheza na akil yake atanitengua kiuno sababu et alinikuta nafundishwa hesabu na mrembo mmoja anaeni ravu pia, dhuu niliogopa kumbe jike shupa yule anataka anigeuze me nuhu! nkaona nisije pata kipgo bure nkawa namtaftia sababu nimuache nkawa sipati siku moja nikamkuta anaongea na mwalim juma nikamuacha hapo hapo
 
Mi cjawah kupiganiwa wal kugombaniwa ila bahati tuu, kwanza nilikuwa kazuzu, alafu nilikuwa natumia ile majani, darasani hesabu nilikuwa siipendi sababu ya walimu wake, wengi walikuwa makauzu kama mimi, wajuaji nini, hii ilinifanya nitilie mkazo ktk masomo mengine, aaam shule mimi nilikuwa na bahati na ma ticha hahaha sababu ya ukimya basi nilimalizana nao kimya kimya hivyo hivyo, walimu wa kiswahili, biology, dini physics, hawa walikuwa watu wangu waliojaribu kunizoea ila mwisho ulikuwa ule ule, hakuna mazoea ya mwanafunzi wa kiume na mwalimu wa kike, mimi walimu kama sijakosea nimepita kwa zaidi ya 9 _ o level..alaf nilivyoish nao class ama nje ya class ni kama hatuna mahusiano...kuna mmoja maskini alivuka mipaka akawa analeta mtihani niiangalie kabla haijafika siku ya mitihani, aaagh kwa kweli nilikuwa mpuuzi, kwa sasa naona ni ujinga tuu, na akili ndogo, ila ndo hivyo kweli tumepitia mengi maisha ya ki shule, lakini mleta mada mbona hujagusia kuhusu sisi pia kuteswa na wale tuliowapenda halafu unakuta yeye hakupendi? Aisee unakuwa kama zuzu hivi mambo hayaendi wala nini, nakumbuka niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja wa kitajiri na nna hisi alinitamani ajili alikuwa na Stress zake tuu akajikuta anavutiwa na mimi na wakati huo mm namtamani ila nikajua tuu simuwezi atanizingua kama sio kunitukana kabisa, basi cku moja kama zali( haikuwa bongo hii ilikuwa Rwanda) alikuja katika Saloon yangu) nilikuwa namiliki saloon ya kike na ya kiume zote zilikuwa eneo moja yaani flem zinafuatana, bahati mbaya siku amekuja mimi nilikuwepo na hakukiwa na mfanyakazi hata mmoja nakumbuka niliwaruhusu mapema baada ya kufanya usafi tuu nikawaambia leo hakuna kazi warudi tuu nyumbani sababu nilitaka nifanye marekebisho ya umeme, sasa huyu mdada alipokuja mi nilikuwa nishamaliza ndo nafunga niondoke zangu, mara mteja huyu hapa, kushuka ktk gari ni yule manzi namzimiaga sana, nikamkaribisha, ila nikamwambia leo hawa hawajafungua hivyo aende sehem zingine, kitu kimoja kilichonifanya nipendwe ama kuchukiwa Rwanda aisee ni kiswahili, sikuwahi penda kuongea kifaransa wala kiingereza, hata aliyenisemesha kwa hizo lugha zao mimi nilijibu kiswahili na nashukuru nilikuwa napata wateja kwa ajili ya kiswahili huwezi amini na mteja mmojawapo ni huyo binti alikuwa anapenda sana kiswahili ila wa kuongea nae huko kwao hakuna, nilipomjibu vile akaniambia yeye shida yake ni ndogo tuu anahitaji kuosha nywele, nikamwambia mimi siwezi hizo vitu kama anaweza subir dakika kadhaa nimtafute mfanyakzi yoyote ktk cm aje kumfanyia hiyo kitu, akasema nisijali atanielekeza, nikaona huyu kuna analo taka, na atalipata, fresh nikazama nae ndani akanielekeza, nikamsaidia sasa wakati yuko ktk drya manzi anaongea sana mara anauliza sana, kama anataka kunijua sana hivi, aisee ktk maisha yangu sipendi kuhojiwa, nikapita shortcut, nikamsoma kwa mbaali nikaona huyu manzi ananiletea zile za kizungu, yaani kama anataka kunielewa hivi, nikamuwahi ktk historia nikampa historia za ukauzu tuu ili ajue kbsa mm ni rude, akanialika kwao, flesh yaani ikawa hivyo yeye akanitambulisha kwao mimi ni rafiki yake, mhh alikuwa na kaka zake ambao ni washikaji kiaina maana nao walikuwa wateja wa mbongo mimi...nikawa kama family friend pale hime, kiswahili kikazaliwa na darasa la kiswahili likawepo kila tulipopata nafasi, yule dada sasa nikagundua ana mshikaji kamchumbia alafu jamaa yupo france anazingua huko na malaya huku dem kamsahau, yule dada kila siku Stress, akaanza kuwa ananiomba ushauri mimi kuhusu huyo mshikaji wake, nikampiga Stop, nikamwambia mimi mambi hayo ndio usinihusishe kabisa mm pia nna stress zangu..akawa anajifanya hanielewi, nkaacha kufika pale nikawa na mishe zangu siku moja akanipigia kama sanne hivi, kama haupo busy sana njoo home nna shida, shida gani hasemi, alichosema we njoo tu nipo pekeyangu, enhee nkajua sasa huyu ananifafuta, mi nikajibu fresh we jiandae tuu na price maana mi cwezi acha kazi zangu nije nikusikilize wew, akasema kwani huko huko hiyo dill unayofanya wanakulipa kiasi gani nikamwambia franc 50000 maana nilipata dill ya kuchora siku hiyi ktk shule moja ya msingi, kuandika pale ktk gate, njaa hizi we acha tuu, mtu unajifunza kila kilicho mbele yako na mimi nipo kule kutafta pesa kwa njia yoyote ile halali, nkaenda nkaacha kazi kwa muda, kufika kama nilivyotarajia ile amefungua gate tuu akanikabidhi pesa yangu, nikamwambia fresh enhe nambie unashida gani? Ooh niko mwenyewe sina wa kuongea nae, kwa hiyo ndo umenipigia mimi nije hapa kuongea? Okey haina shida ila tutaongea baadae twende kwanza nikakufundishe jinsi ya kuongea na mwanaume wa kibongo. Ikawa hivyo nyumba kuubwa utulivu mia, nishalipwa alaf dizain manz kama kajilegeza hivi mi sikutaka aanze tena stori zake za kipuuzi, nikampitia, sasa ikawa siri siri siri mwisho shobo, nikienda kwao kwao sasa dhahili ikajulikana mm nam....yule manzi afu kwao wakawa wanachukulia poa, kuna kitu amabacho yule sister hadi leo hato kisahau ni mimi kumshauri aendelee na masomo maana alimaliza darasa la 13 kule alafu akawa hataki kuendelea, mama yake alikuwa rafiki yangu mkubwa nikamshawishi amshawishi yule manzi aende univarsity, baada ya muda akatafutiwa shule Canada, hivyo yaani, sasa kuna siku ndo nikajua hawa watu c wa kuwaamini moja kwa moja, nilipata wageni, washikaji zangu wawili mmoja alitoka Scotland na mwingine alitokea omani, yeye alikuja na Dadayake, Wote walifikia kwangu, maana mimi nilikuwa naishi ktk nyumba ambayo nilipangiwa na kampuni niliyokuwa naifanyia kazi, siku moja nikawapeleka wale wageni wakasalie hiyo familia, sikuwaambia kama mmoja kati ya wana familia mimi ni mtu wangu..kufika kule, yule mdada ambaye ni mtu wangu akaanza mshobokea yule mchiz wangu wa Oman, aah nkasema inakuwaje hii? Mm nikamuuliza mbele ya mchiz oya vipi mbona unamshoboke jamaa akanijibu nimempenda, maninaaaaaa, nkamwambia ikey huyo apo na uchukue na namba zake hizo apo nikampa, jamaa nae akawa kamuelewa yule dem hatuliii mara ajishebedue hivi mara ajifanye ye Jihn Cena jamaa ana mwili, nazani huko kwao yeye ni kula na gym tuu, sasa yule dadayake akaanza kunilaumu mimi kwamba nimzuie ndugu yake yeye hawaamini wanawake wa Africa kaka yake anaweza pata matatizo, nikamwambia kaka yako amependa mm ntajaribubkusema nae ila akikataa basi haina jinsi, basi jamaa akawa asubui pakicha tuu, jina la binti wa kinyarwanda haliishi na kutokana na yeye mcheshi wakawa wanamfuata wanaondoka nae kwenda kumtembeza sehem mbali mbali hata siku moja sijui walienda wapi Club akaleta fujo akiwa na huyo mwanamke na bahati mbaya hakubeba passpot, wakakamatwa huko ikabidi niende na pass yake ili taratibu za kumtoa ziendelee, cjui ikawaje ila dada wa mshikaji nae akaanza ukilaza ule ule mara anune, mara acheke mara akitoka jioni tukionana vizawadi nini nkajua huyu nae anataka KITU, hakunaga zile sijui ooh mimi najisikia hivi sijui nakupenda mm nikielewa kitu huwa natafuta tuu position ya kufanya yangu na kweli akajaa, nkafungua njia, binti wa kiarabu akaweka mambo hadharani kwa kaka yake kwamba na yeye amepata mtu na mtu mtu mwenyewe ni mm, jamaa akataka kurusha ngumi nakumbuka hiyi siku tulipasua vioo na mlango ugonvi haukuwa mdogi jamaa ataka kupigana kisa kamegewa dadayake afu dada kaelewa somo dada anataka tuondoke wote kurudi huko kwao, kasahau kamisa kama kanimegea demu nilikuwa napumzika......Story ndefu ila wakati nacomment hii post nikakumbuka hiki kisa, kweli mtu anaweza pigana ila huku alipigana sababu dada yake alitolewa Bikra na muafrica, akajua baaaas tena huko kwao yule bint hana market, jamaa alileta figisu figisu hadi mm nkaona isiwe shida nikaachana na sister ake na

Rafiki wa Scotland yeye bado yupo huko sijui mishe gani kwa sasa

Rafiki mwarabu, yupo huko kwao Omani haeleki mara bausa na visimani huko Sahara yaani bado hajatulia

Rafiki mnyarwanda yeye anafanya kazi ubalozi wa rwanda ktk nchi flani hivi hajaolewa hadi leo.

Dada wa rafiki mwarabu yeye anafanya kazi katika shilika la ndege la Qatar, pia hajaolewa ila sasa ni matawi ya juu hata mawasiliano yalishaishaga japo kuna kipindi alinikumbuka kwa jambo flani hivi

Mimi sasa baada ya Kuona Rwanda mambo hayaendi vile nataka nilirudi Bongo na kujitupa Chuo miaka nikachukua ICT na baada ya hapo sikutaka kuajiriwa, nipo nafanya mambo yangu taratiibu hivyo hivyo hakuchi kunakucha, Nimeoa na nna watoto maisha yaliyopita imebaki Stori sasa
 
bahati mbaya shule o level na advance sikuwahi kupiganiwa na gals ila kuanzia chuo mpk saivi job ni hatari tupu...smtmz nawakwepa ila sichomoi naishia kuwakaza tu tatizo wote wanataka niwaoe
 
Mi nakumbuka kipindi nipo form 2 kuna wadada wawili walitandakana ngumi kisawasawa kisa mimi,mmoja nilikuwa na ukaribu nae na huyo mwengne sikuwa na ukaribu nae sasa yule ambaye nilikuwa na ukaribu nae alikuwa ananipenda na yule ambaye sikuwa na ukaribu nae pia,so walitafutana kwa kutupiana madongo mpaka siku moja kulikuwa na mziki mtaani wakazichapa kwenye mziki mi sikuwepo hyo siku,kesi ilikuwa kubwa hyo mpaka kwa wazee ikafika bwana mtaa niliuona mchungu aise kunyooshewa vidole,ikabidi niukimbie kidgo nkaenda kukaa mzee mpaka kesi ilipoisha ndo nkarudi,
Ila huyo mmoja mpaka leo bado ananipenda ila sipo nae kimahusiano yupo kama friend wangu tu kila nikiongea nae haish kunikumbushia,nilikula sana vipochopocho full makababu,kuletewa maua na vipete vya uongo na ukweli ila sikuwa nampenda.Hii drama siisahau
 
Daaah! Nimekumbuka O level mchanganyiko,kuna mabinti walikuwa wanapigana eti kisa mimi.Nakumbuka kulikuwa na Hostel za Wasichana sasa mimi wale Wadada ambao tulikuwa tupo darasa moja wananipa habari Dogo utaleta balaaaa.Hapo mimi niko busy na kuibeba shule kitaaluma tu.
 
Kijana wa Kitanzania anaumia zaidi akikataliwa na mwanamke kuliko hata akikataliwa maombi yake ya kazi.......
 
Kuwa mwanaume ni raha sana, duh. Nakumbuka enzi hizo, nilikuwa nagonganisha sana wasichana, tena shuleni. Wakigunduana wanaanza kuwindana kama mbwa na paka, cha ajabu mimi hawanigusi wala kuniuliza.

Basi siku moja ulipigwa mkono mbele ya kadamnasi na wasichana fulani wawili wabichi, nyonyo saa sita, si mnajua nyonyo za ukweli zinavyochomozaga kwenye blauzi nyeupe za vibinti vya sekondari? Walikung'utana huku wakitukanana matusi balaa! , hebu niangalie kwanza nilivyo, wewe ndiye uliyemtaka bwana wangu, na matusi mengine ya nguoni". Niliona soo, ila baadaye nikasema liwalo na liwe, ndio uanaume wenyewe.

Adhabu nilikuwa napewa za kuchimba visiki na kufyeka tu majani, halafu biashara inaisha. Jamani shuleni hasa sekondari ilikuwa ni raha mstarehe.

Wewe umeacha legacy gani shule ya sekondary? Kujikojolea? Kupata sifuri/kubeba darasa kila mtihani? Kutoroka kwako ilikuwa lazima? Kuchelewa shule kila siku? Siku ya wali kubeba kindoo? Kuiba mahindi mabichi ya shule? Au ulikuwa mchezaji ukiingia uwanjani vibinti vinaanza "usiniumizie"?

Hahahaaa, wengine mlioishi shule kama mpo mahabusu, mtuambie pia.
Legacy?? Or stupidity??
 
Back
Top Bottom