Ulishawahi kupiganiwa na wasichana?

Ulishawahi kupiganiwa na wasichana?

sikuwahi kuwa na girlfriend secondary, japo wakati nipo form 4 kuna mdada wa form 2 alinitamkia live kuwa ananipenda. nikawa namkwepa kwani nilikuwa naogopa sana kukaa faragha na msichana. niliishia kumfundisha topic ya log nyumbani kwetu,
Ungeanza nae mahusiano zero ilikua inakunyemelea
 
sikuwahi kuwa na girlfriend secondary, japo wakati nipo form 4 kuna mdada wa form 2 alinitamkia live kuwa ananipenda. nikawa namkwepa kwani nilikuwa naogopa sana kukaa faragha na msichana. niliishia kumfundisha topic ya log nyumbani kwetu,
Umenikumbusha mbali mkuu
 
weweee unikome nshakugombania wapi wewe ndo ulikuwa unanililia nikupe du*u
Hahahaha esta leo hii unajichetua na kuungopea umma akati mmegombana na mwenzako mpk mmechaniana sketi zenu za marinda.. Ashh sema nimekumis ka kwel njoo Pm Tudumishe
 
me wakati wako wa nne wananigombania kuna kpind nkamkubal moja kwanza sababu aliwakandia rival wake baada ya siku tatu hvi siku hiyo alinishka shati shingoni mpaka akanikatia kifungo kwenye shati langu la tomato et ananiambia niache cheza na akil yake atanitengua kiuno sababu et alinikuta nafundishwa hesabu na mrembo mmoja anaeni ravu pia, dhuu niliogopa kumbe jike shupa yule anataka anigeuze me nuhu! nkaona nisije pata kipgo bure nkawa namtaftia sababu nimuache nkawa sipati siku moja nikamkuta anaongea na mwalim juma nikamuacha hapo hapo
 
Kuna jamaa iwahi kugombanisha wanawake, sasa hivi ni loafer tu. Hana kitu....waiter bring that order of mine. These guys aren't real.
 
Ndio wakata nipo Chuo waliligana huko hostel nilidate na mmoja mmoja alikuwa bestfrined sasa yule wangu alihis nimecheat haha
 
Kuwa mwanaume ni raha sana, duh. Nakumbuka enzi hizo, nilikuwa nagonganisha sana wasichana, tena shuleni. Wakigunduana wanaanza kuwindana kama mbwa na paka, cha ajabu mimi hawanigusi wala kuniuliza.

Basi siku moja ulipigwa mkono mbele ya kadamnasi na wasichana fulani wawili wabichi, nyonyo saa sita, si mnajua nyonyo za ukweli zinavyochomozaga kwenye blauzi nyeupe za vibinti vya sekondari? Walikung'utana huku wakitukanana matusi balaa! , hebu niangalie kwanza nilivyo, wewe ndiye uliyemtaka bwana wangu, na matusi mengine ya nguoni". Niliona soo, ila baadaye nikasema liwalo na liwe, ndio uanaume wenyewe.

Adhabu nilikuwa napewa za kuchimba visiki na kufyeka tu majani, halafu biashara inaisha. Jamani shuleni hasa sekondari ilikuwa ni raha mstarehe.

Wewe umeacha legacy gani shule ya sekondary? Kujikojolea? Kupata sifuri/kubeba darasa kila mtihani? Kutoroka kwako ilikuwa lazima? Kuchelewa shule kila siku? Siku ya wali kubeba kindoo? Kuiba mahindi mabichi ya shule? Au ulikuwa mchezaji ukiingia uwanjani vibinti vinaanza "usiniumizie"?

Hahahaaa, wengine mlioishi shule kama mpo mahabusu, mtuambie pia.
na wewe unaona sifa???
 
Binafsi sijawahi piganiwa na wasichana na kipindi hicho sikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu ila kuna watu walikuwa ni balaa kipindi kile
 
Mkwe Una nyota ya paka, kupendwa na wachawi.

Mie nimepiganiwa juzi juzi hapa na mibaba mizima na ndevu zina mvi. Nilicheka sana, nikaenjoy show (ya maneno lakini)
Kuna mademu walikuwa wananipigania ikabidi niwapige chini
 
Mkwe Una nyota ya paka, kupendwa na wachawi.

Mie nimepiganiwa juzi juzi hapa na mibaba mizima na ndevu zina mvi. Nilicheka sana, nikaenjoy show (ya maneno lakini)
Hahaahahah! Mkwe kila siku unawapa mijibaba show ya maneno. Siku wakikukamatia kwenye anga zao sijui itakuwaje. Nimekumiss hadi nimepata vidonda vya tumbo.
 
Kwanza nna bifu na wewe la kumpigania mwanangu. Kwani umemfucha wapi? Hivyo vidonda vya tumbo acha vikurestishe in peace.

Kugombewa raha ujue, usiombe.

mwanao kuna jimama limemuweka ndani, ntakutumia video ya ushahidi.
 
Back
Top Bottom