UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,599
- 11,999
Ana watoto wa kike wawili? wa kwanza mweupe na wapili maji ya kunde?????Nilisharudia na kurudia siwezi hesabu. Yupo Germany kwasasa na familia yake ya watoto wawili. Nisimgusie sana maana alisoma hapa na akanitambua, hakupendezwa kusema ilikuwa kimasikhara.