Marine creature
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 2,264
- 2,965
Kama ww ni shekhe hilo halina shidaa,ila kama ndo wale wa mmoja ndi jadi utajachapiwa hadi ukome
Si mchezo. Ila dawa yake niliishi kama yeye sms za kusema aendelee na umalaya nikikuta simu inatumika nawaka vibaya. Amenyooka kiasi chake siyo kabla sijapiga hilo igizo.Bora hata ww.....
mm nikiingia choni tu bahati mbaya akapiga missed call moja tu.....
atanuna wiki tatu
Hapana bhana zimezidi za vyuo tyuuh humu. Inachosha na kuondoa ladha ya uzi. AaaaahZa uraiani zipo nyingi tu mbona anza na page ya kwanza kabisa
Tusimulie kimasihara yako, it must be awesome🤗🤗Hapana bhana zimezidi za vyuo tyuuh humu. Inachosha na kuondoa ladha ya uzi. Aaaaah
Toka hapa uongo tyuuh, ki masikhara mnawaokota hawa wa vyuoni.Mkuu tumekula kimasikhara mpaka wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ila hatusemi kwa sababu za kiusalama, kula sana wayahudi, masadukayo, waebrania, tanapa, mabaharia wa kike, wamasai na kila kiumbe chenye pumzi na jinsia ya kike ila tunaogopa kusema hadharani kwa sababu tutaonekana tuna elements za abnomalities
Jaribu uone utakavyojamba bila utaratibu maalumu wa wizara
Dia mjukuu Joanah...Nimeishia hapo alipoandika "Ni stori ndef ila ntajaribu kuifupisha kadri ya uwezo wangu"
Dia babu Asprin naomba summary
Sijawahi kuwa ki masikhara, kwangu huwa ni serious tyuuh.Tusimulie kimasihara yako, it must be awesome
Ndo uache tabia mbaya, kuchepuka kunaleta mikosi katika maisha
I bet you have some, Ila ndiyo umechagua kutosimulia tu 🙌Sijawahi kuwa ki masikhara, kwangu huwa ni serious tyuuh.
Nnapokuepo,
Mda mwingi anakua ni mama wa nyumbani,
Ila mara kwa mara nnapokua nmesafiri au Niko bize sana, anashika usukani kusimamia miradi yetu ya hii ujasiliamali100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
ASANTE kwa herufi kubwaAlafu kuna ng',ombe utaisikia inasema olewa uepuke stress na magonjwa
(Bonge la mtusi)
Kwanini??Wewe, mkeo na mchepuko wako Wote hamna akili.
Lete story nzimanzima kama ilivo ili tupate mauzoefu kutoka kwako fundi.Jana na mimi nimekula kimasihara....ila ni kama yule mshenzi alikuwa ameniwekea mtego tu siku nyingihuenda mimi ndo nimeliwa kimasihara na mwanamke mmarangu yule
we jamaa ni nyoko kinoma.Jaribu uone utakavyojamba bila utaratibu maalumu wa wizara
Wala hata yaan.I bet you have some, Ila ndiyo umechagua kutosimulia tu