Mengi nimefupisha,
Uyu uyu mchepuko nliemzaba makofi Kuna kipind aliwahi fua nguo nlizokuja nimevaa ili nisirudi home.
Anadai
"Nmeziona chafu nmeona nizisafishe"
Nkamuuliza,
"Kwaiyo umezifua unategemea ntavaa Nini sasa nkitoka hapa"
Akajibu
"Ooh, kwani unaondoka? Mi nkajua Leo unalala uku mpk kesho!"
Nkamuuliza,
"Kwani nlikwambia leo nalala uku? ,
Kwani ujui natakiwa kurud home kwa wife. Narudije sasa, uchi au?"
Nkaona ananiletea usiku TU uyu, analazimisha nilale kwake.
Fasta nkampigia wife
"Chukua ovaroli,gloves, praizi mbili, kata moja, Lile jinzi gumu gumu na TISHETI YA KAZI. Kuna dili moja nimepata mida hii mpe boda boda aniletee hapa kazini chap"
Boda alipofika kazin ananipigia hanioni, nkamuelekeza ampe mshkaji wangu nishamseti tayari aniletee chap kule kwa mchepuko.
Nkatoka kwa mchepuko, nkaenda zangu kwa rafki angu.
Kufika kwa rafk angu, nkampigia wife msosi muesabu na shemej ako kabisa maana tutarudi mida mibaya na migahawa washafunga. So unajua shemej ako uyu Ni bachela. Msitili kwa leo.
Wife kakubali.
Tumezuga zuga mpk mida ya saa 8 usiku, tukajipaka vumbi kias na top kwny viatu tukaelekea home kana kwamba tumetoka saiti.
NIKAJINASUA KWNY MSALA, MAMBO YAKAENDA VIZUR
Sent using
Jamii Forums mobile app