Kumbe umeona Hilo mkuu, huu Uzi ni wa 2020 wao wameandika 2014 halafu haukutakiwa kuunganishwa.Huu uzi una vita kubwa sana naon rikiboy amerudishwa ndo muanzisha uzi lakin kituko in uz was 2014 hafu jamaa kajiunga 2017 hahaha.....na title wameona isiwe taabu wameirudsha ya ushawahi kula tunda kimasihara sio tena ushawahi kufanya mapenzi bahati mbaya.
Ombi langu turudishieni uzi wetu wa kubeti basi jmn.
Mm nasubilia za kipindi cha Campaign na uchaguzi MkuuAiseee uzi umerejea, ngoja nisubirie porojo za watu kuanzia matukio ya mwaka mpya na x-mass!
Mie haijawahi kua kimzaha, ni serious tyuuuhTunasubiri yako