Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Screenshot_2021-01-12-01-58-26-1.jpg
 
Miaka kumi iliyopita tayari ulikua na tablet haya hongera labda unaeza kuwa wakisure lakini
Sasa mbona umetuingiza chaka mzeee
MOYO MASHINE imetoka 2016 au nyie wenye tablet mliipata mapema 😂😂😂😂😂😂
Kuna mtu humu ndan ananifuatilia sn so nikaona ngoja niseme miaka 10 iliopita maana angejua ni miaka michache iliopita tungezinguana
 
Back
Top Bottom