Ankopimbi
Member
- Oct 10, 2019
- 49
- 35
Ww
Wanaume tunakwama Sana hivi unakutana na demu siku hyo hyo unakula tunda then unaamua kumuoa kabisa..hayo ndio matokeo yake na huenda hata mimba hakupata alikuchezea tuNgoja namimi nitoe kisa changu
Ilikua mwaka 2013 siku moja asubuhi ninaenda kwa rafiki yangu tulikua tunapiga nae mishe wakati niko njiani ghafla nkamuona binti Fulani kwa mbele ikabidi nikaze mwendo ili tuongozane nilivomfikia nikamsalimia tukawa tunapiga story mpaka nilipofikia sehemu niliokua naenda tukabadilishana namba kwa ajili ya kuwasiliana baadae! Ilivofika mida ya SAA 10 nikampigia akapokea tukapanga kukutana restaurant moja hv kupiga story akakubali akasema saa 11 nikajiweka safi nikisubiria muda ufike mda ulivofika nikapiga simu akapokea mwingine akadai mwenye simu ametoka nikasubiri kama nusu Saa nikapiga tena haikupokelewa nikapiga Mara ya pili yule aliepokea Mara ya kwanza akapokea tena akanambia samahani kaka huyu mwenye simu ana mchumba wake unaogopa kukuambia tu ameniambia nikueleze, ikabidi nibadilishie gia angani nikamuomba kampani kama hatajali akanambia ngoja nimuambie Hutu anilete nikasema poa baada ya dakika mbili akanitext kwa namba yake baada ya kama dk 15 akaja na yule mwenzake tena yeye akawa mzuri kuliko yule wa kwanza tukaenda restaurant moja tukawa tunapata vinywaji wote watatu ilivofika saa 2 yule mwenzake akaaga kuondoka nayeye akataka kuondoka nae nikamwambia ntakusindikiza baadae tulivobaki wawili nikamwambia Leo tunalala wote akakubali nikachukua chumba tukazama nikala mzigo mpaka asubuh ikawa ni kawaida kulana kimasihara tumedumu nae kama mwaka mzima kama wapenz na mama yake akawa ananifaham siku zimeenda nikaamua kumuweka gheto tukaish kama mwaka mmoja hv tukazinguana siku moja akakasirika akabeba kila kitu ndani nikamruhusu chukua kila unachoona kinafaa akabeba kila kitu alivomaliza nikafunga mpango nikaenda kununua godoro na ndo ya maji nikaweka gheto nikaendelea na Mishe zangu akaenda kwao baada ya week 2 ananipgia simu anataka kurudi nikakataa kumbe tayar alikua na mimba baadae akanambia suala la mimba nikamwambia ntakuhudumia kwa kila kitu lakn kuishi pamoja never
Akakaa kwao kama miez 3 baadae akaondoka kwenda jiji la makonda muda wote tunawasiliana na matumizi natuma kumbe alivoenda akatoa mimba Mimi sijui nikahudumia mpaka miez 9 nikapigiwa simu siku moja usiku na dadake akanambia mkeo kajifungua mtoto wa kike kidume nikatuma hela kama laki 3 hv nikaendelea kuhudumia mama na mtoto kama miez 3 nikamwambia mlete mtoto nimuone nikatuma nauli na siku ikawa imepangwa week moja kabla ya siku ya kuja nikapiga simu haipatikani baada ya siku 3 siku nikapigiwa na mama mtu huku analia anadai mwanae yuko hospital alipata Ajali yuko hoi yuko njian anaenda dar nikachanganyikiwa akasafiri mpaka dar anafika ananieleza hali ni mbaya ya mama na mtoto nikawatumia hela kama laki na nusu baada ya siku 4 akatoka hospital na mtoto baada ya miez kama miwili tena ikabidi nifanye mchakato amlete mtoto coz alikua bado hajapata recovery vzr ghafla mtoto akaugua akapelekwa hospital akafariki nikajiuliza hapa kuna kitu nachezewa si bure nikafuatilia kijasusi nikagundua mimba ilitolewa ukiwa na miez 3 kwahy hapo nlikua nahudumia mtoto hewa nikaumia sana nikampotezea mazima kimya kimya nikakaa kwama mwaka mzima nkaoa tena now Nina watoto 2 ila alinipa funzo kubwa sana kwenye maisha saiv yupo tu kwao amepauka kama kopo la mkojo