Nimesoma Sana Visa humu ngoja niweke changu kilichotokea Jana 26/7/2020
Mtaani karibu na ninapoishi Kuna Dem mmoja mzuri Sana rangi ya mtume (in lemutuz voice) , huyu Dem anauza duka la chakula pia Kuna mpesa,, ! Washkaji mtaani wanamsema ana nyodo Sana , pia huwa anajisikia flani hata ukienda hapo kupata huduma anajifanyisha Hana time, kwa kifupi Ni mtu ambaye sio mcheshi, hazoeleki !!
Of course Nina namba zake lakn kutokana na maringo yake, Sina time nae, huwa namcheki tu nikitaka kuulizia bidhaa hapo dukan au Mambo ya miamala,,, ! Ukisema umzoeshe chats kidogo anajibu mno shot Kama hataki vile,,,
Dukan kwake huwa anafunga saa 8 -10 siku za jumapili ,,, Sasa Jana Niko zangu home tu nishakula lunch mida ya mchana nikampigia kumuulizia huduma flani ya muamala kama anaweza kuwa na hicho kiasi niende kutoa,,,
Baada ya kunipa jibu, nikaweka kautani kidogo karibu home nipo bored nakunywa bia,,, (of course hm sikosi kileo,,,) akacheka kumbe unakunywa nikasema naonja onja tu ,,, nikamchomekea utakuja ? Akasema kwako siji chagua sehm nyingine,,,,
Aloo kwa hii kauli nilipata Moto balaa,, nikamwambia poa ukifunga nicheki, akajibu sawa,, nikaumiza kichwa huyu ananichora ama kweli ? Mwana nikajiandaa chap chap, then nikawaza nimpeleke kiwanja gan ? VIP , uswaz au pa kawaida ?
Kuna wazo likanijia, Kuna bar flan ya kistarabu, Haina wateja wengi Sana pia pana lodge,, nikawaza pengine nikamsaundisha nikipewa tunda hapo patatufaa,,, nikatangulia pale then nikampigia nikamuelekeza achukue boda,,, nikanywa bia Kama 2 mtoto huyoo,,, akaja, story kidogo akaagiza whindhoek, akapiga kama 4 , mm namsoma tu naona bado mzima ila kachangamka kiasi,, wazo likanijia nikamwambia dizaini hapa pana kelele why tusikae sehm tulivu , akajibu wapi nikamwambia hata room,,, akasema wee naogopa, nikakomaa akakubali kwa masharti nisijemsumbua huko ndani, aloo moyo ulipiga paaa paaa kwa furaha ! Nikaagza bia zangu 2, na yy zake 2 tukazama nazo ndan, nikamchokoza kidogo naona anatoa ushirikiano,,nikajilia kiulainiiiiiiii ,,,, !!