Kuna Mwaka fulani nilikua nina Urafiki na dada mmoja jirani yangu mrembo sana na sijui kwa nini sikua nina mawazo ya kuwa nae kimapenzi zaidi ya story tu na baadae kuna rafiki yangu ila sio wa karibu kivile wale wenyewe wanawaita "Mshikaji Mambo vipi" akamuelewa yule dada nikamuunganisha akaanza kumla.
Siku moja yule jamaa akanipigia kama saa 3 usiku hivi wapo na yule dada mtaani kwetu, nikawafuata kuwasalimia then nikawasindikiza,kumbe jamaa aliniita nimpe mchongo wa Guest ya karibu pale mtaani akale faster,nadhani demu alimwambia hawezi kwenda mbali usiku ule,tukatafuta sana Guest house usiku ule kila tukiuliza tunaambiwa zimejaa!!Baadae Jamaa akaamua asepe zake kwao,alikua anakaa Kijitonyama na hapo tayari tupo mitaa ya karibia na Kanisa la Katoliki Mwenge (mbele ya TRA) na sisi wakati huo tunakaa mitaa ya karibia na Calabash Mwenge.
Tukamsindikiza Mshikaji mpaka mitaa ya Chuo Cha Ustawi then tukaanza kurudi kwa miguu mimi na yule dada,hapo tayari imekaribia saa 5 maana kuna sehemu tulikaa tukapiga bia kama mbili mbili mimi na yule jamaa yangu na yule demu akala chips kabla mshikaji hajasepa
Yule Mshikaji alivyovuka barabara tu ya Shekilango ili aingie border za pale kati ya Corner Bar na Hongera,yule demu alinikumbatia ghafla akanipa French kiss na mimi nikaendeleza kubambia then tukawa tunatembea kimya kimya nimemshika kiuno na tukiona giza tunasimama tunakulana sana mate mpaka tunafika ghetto kwangu,nikamla usiku mzima hakurudi kwao,sister zake walipiga sana simu usiku hapokei,
Baada ya kupita week hivi yule jamaa alinipigia ananipa malalamiko hamuelewi demu na wamemwagana kwa vile anamletea pozi nyingi na hampi mchezo dah
Tuliendelea kulana sana na yule mshikaji hakujuakwa sababu hakumfuatilia tena yule demu na mimi tulikua tunaonana kwa nadra kutokana na nature ya mishe zetu.
Kwenye mahusiano ndio yule demu akaniambia alikua ananielewa sana mimi na hata kumkubalia yule jamaa ilikua ni kwa sababu yangu ndio nilimtongozea mshkaji na yeye aliona kama angetoathe angekosa kuwa karibu na mimi ila alijua kuna siku atanila tu.
Tulikuja kumwagana baada ya kuanza michongo ya kutaka nimajitambulishe wakati mimi sikua na huo mpango huo though alikua bomba sana,damn!I miss those beatiful eyes;baadae nilisikia aliolewa Znz maana mm nilihama mtaa;Mazingira niliyompatia na U single mother akiwa na umri mdogo vile ndio vilinifanya nisiwe na mipango naye ila ni mmoja ya Wanawake walikua wananipenda sana,alikua ananinunulia sana mashati