Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Ulishawahi kula tunda kimasihara?

Jifunze kuandika vizuri
Nakumbka ilikuwa 2012 maeneo ya uknga nimepng na mwngu nyumb moja ila kila MTU na gto lake

Ilikuw burdan sn maisha Yale maana kila join lzma tukutane kijiweni kW ajili ya str mbili tatu baada ya harakati za maisha

Dah! SKU isiyokumbukw jna si ndo wakahamia wapangji wawili MTU na dada yake baas

Kumbe mmoja pale ni shetani mvunja amani
Kwanza balaa lilianza palepale str zikbadlika tukwa tunawajadili wao tuu
Ooh! Mi wngu yule mwna huyo ananiambia akimaanisha mdg mtu.. Mi nikamjibu we tu hta ukiwataka wote kaz kwk hii inaitwa kifo cha mbuzi kW muuza supuu na wakati huo mwna ndo katoka kukimbiw na dem aliyekuwa anaishi nae binafsi huwa snaga muda hasa mwna akisema ile niachie

Basi mwna akaanzsha harakt kujipendkeza kw sna tu shda ikaja dgo kumuelewa ikawa shuhuli mwna akiingia huku dm anatokea huku basi ikaw tafrani

Isiwe tabu jamaa yng akaona bora amtumie dada MTU na mwna alidhamiria kweli kuishi nae
Dada mtu alikuw mtu wa tamaa c ndo akaanza kumvuna jmaa akimtumia mdg ake.. Jamaa akaona mbona mkwnja unakata halafu matokeo sioni so ikabid aanze kudai pesa zake Dada mtu kuambiwa ikabidi amkalishe mdg ake... Jiongeze we!
Kwl km utani jamaa akafanikiwa kuamsha goma lile ila kW dgo ilikuw shngo upande

Wakati huo mi hta str na dgo wala dd mtu cna zaidi ya salaam tu baas
Kula tunda kimasihara picha linaanza narudi zngu maskani mida ya sa mbili kasoro usk namkuta DM kakaa nje jirani na kijiwe chetu mi salam nikapta
Sjafika mbali naskia kk samahani nataka tuongea... mm Haina shda nikarudi nikakaa
Niambie dd! Samahani! Mi. Bila samahani .... Wamama wanalalamika ukienda kuoga unavaa vbaya taulo... Mi. Navaaje? Hasemi ila akaniambia uwe tu unavaa na kaoshi ukienda kuoga
M. Sawa nimekuelewa dd
Mi naenda kula nikamuacha nikaingia zng ndani nikafnya kilichonipeleka km dk mbili tatu HV natoka sasa niende kula naombw kusindikizwa na wakt huo wote jmaa hajarudi
Twenzetu tukaongozna na demu mi nimegonga msosi tunarudi namkuta mwna amepoa kijiwen na dgo kumbe alishamuulza dgo na wakat tunatoka alituona baada ya salaam dah! Mi full kujiongelesha maana hta SKU moja skuwahi kuwa na mazoea na dem Leo inakuaje mpk nimetoka nae na nnjiani zaidi ya utani dm wal hakukuwa na dalili yoyte km ningekula tunda

Tukakaa pale na mwna ila kadri muda ulivyokuwa unaenda str pale zilkuwa hazieleweki
Naona mwna anaaga ..oya! Mi naenda kulala..dah! mi pia ilibdi niage wakati huo tuko pmj na dem
Nae akaondoka maana hpo kunguru kishasema kila MTU kwao tenaa

Naingia ndani nacheki muda sa tano kasoro nasaula nachukua taulo nikaoge nakuta bafuni kuna mtu isiwe tabu uswhilini tenA mi choon nikapga maj natoka nakutana na dm ndo alikuwa anaoga nikamchomekea ningejua km ww ningekujata tuoge wote
Kumbuka wakati huo jamaa alishaingia kwk mda tuu
Tunaachna na dm mi naingia ndani dm kaingia kwao nafka tu ndn baada kujikausha maji nifunge mlango dem huyu hpa mlngoni.......mini tena hajaongea chochote ndni
Isiwe tabu nikafunga mlango kwnz ili nimuhoj vzr, nisiongee sna dgo alikuwa amenikubali since day one
Nikapiga mzigo na dgo alikuwa mtamu asikuambie mtu

Ila sasa haikuwa siri ten japo tulibaliana tufanye siri jamaa yng asijue kumbe toka pcha linaanza jamaa alishchezw na machale aisee mgogo yule kumbe alishuhudia gemu yote Niko kati kat ya gem niliona sm inaita asubuhi kuja kucheki kumbe yeye mwana
Nampgia asubuh ananihadithia kila kitu ilikuwa noma sema uwezo wa kunipga hna
Ila urafiki uliishia hpo aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIKONGWE

BIBI UNAJUA NI BIBI AU TUMUITE BIBI KIZEE HAPANA BADO HAILETI MAANA TUFANYE KIKONGWE ITAKUWA POA NDIO KIKONGWE

KIKONGWE bibi mwenye nyumba tumepanga kwake mimi ni mgeni pale wiki tu sijui ni bahati ngekewa au mkosi yule KIKONGWE alikuwa akinikubali sana zamu ya kufagia kudeki choo alikuwa akinifanyia yeye ikafika kipindi sasa hadi chakula napewa napikiwa na yule KIKONGWE mimi namchukulia kama bibi ananiona kama mjukuu wake kumbe bibi analake moyoni

Huyu bibi anaonekana smilies pini balaa enzi zake na alijua kujitunza njema kwasababu umbo lake la namba 8 bado lipo na kalio ndio kabisa akivaa khanga ndio balaa lakini ndio hivyo ngozi yake mvi vinamtupa mkono
Kuna siku Mojo mchana mda wa msosi akaniita na kuniambia leo utakula chumbani kwangu sawa akafunga mlango akawasha feni pale tukawa tunapiga msosi wote sasa akaanza sema unajua mikito mikito ng 'ombe azaeeki maini mimi namjibu ndio nikajua ni utani tu wa bibi KIKONGWE akaanza sema unanionaje mimi bado nalipa nikamwambia ndio basi bibi KIKONGWE akasimama na kuvua khanga zake mbili na kubaki na gadulo garulo sijui wanaitaje jeusi hivi akavua na hilo ndani hakuvuaa kitu akanimbia unanionaje mimi wakati huo ninatetemeka nina hofu kubwa sana au bibi KIKONGWE mchawi yaani sielewi akapanda kitandani akatanua miguu chali akawa ananiita kwa vidole ishara

Kwa kweli nilibaki nikijiuliza niende au lakini hapo ndipo nilipo jua shetani ananguvu ananguvu nilinyanyuka kwa kasi ya ajabu pale chini mpaka kufika kitandani nilashavua nguo zote ndio nilivua nguo site and kwa sekunde 30 sekunde nikamfikia bibi KIKONGWE sikutaka mambo ya kupiga deki romance tunda halishawishi kabisa nilichofanya ni kuzama moja kwa moja kwenye pango hapo ndio nikajutia zaidi kitu kwa friji baridi baridi kumepoa nishavulia nguo maji sina budi kuoga nikaendelea piga tako zangu za kivivu sasa nikasema and ngoja nimepe za ujana nikamuweka dog ajakaa sawa **** mboga inakolea mara tukutane katikati hatujamliza mbuzi kagoma mbuzi ajafika zizini chutama nichote maji maji tumechota nikalie nijipimie yule bibi KIKONGWE kila mkao yupo kila nikiweka hivi naweka vile nikasema leo ukisika ujana ujanani ndio leo au bibi KIKONGWE alikuwa malaya ujana wake sio kwa shughuli hii mpaka nakuja kutema wazee niko hoi nikasema and leo nimehaibika yaani nimepelekwa puta hivi ni bibi KIKONGWE nikatoka ndani nikamuacha kitandani

Kodi nikawa silipi msosi bure nadekezwa mjukuu nadeka kwa bibi KIKONGWE akashika Mimba ndio miaka 80 akashika mimba mtaani yakawa maneno story ndio hiyo nilihama pale sikuwahi kuludi tena nilisikia KIKONGWE amezaa ila sikutaka kuludi tena
SHETANI SHIKAMOO SHIKAMOO SHETANI
BIBI KIKONGWE BIBI KIKONGWE
 
Sawa....

HAYA MATUNDA YATAKUJA KUTUTOKEA PUANI KWA KWELI BAADA YA KULA KIMASIHARA UNAKUFA KIMASIHARA

Beach girl nisijekukupata ntalipa kisasi

J4 moja nikatoka zangu kwenda beach moja hivi huwa ni mwenyeji sana wa hiyo beach mpaka beach boys na watu wa maeneo yale walikuwa wananijua nilikuwa na tabia ya kwenda pale kila mara kupumzisha akili kuogolea na na vitu kama hivyo
Sasa siku hiyo nillienda mapema sana saa 7 nipo beach wakati nipo pale ikaja gari IST akashuka dada(beach girl) alavaa jeans na top juu akaangalia angalia pale akaludi kwenye gari akatoka na kitu kama kijimkeka kidogo hivi na chupa ya wine akatandika akaweka chupa yake akaludi tena kwa gari safari hii aliniona na kunisalimia alikaa sana kwa gari kama dakika 15 akatoka akiwa amevaa mtandio mwepesi akijifunga kiunoni kama ray c vile sijui wanaitaje ile stlye ya kufunga ule mtandio unaonyesha kila kitu ndani alivaa chupi nyeupe zile za maua maua shanga kama sita hivi kiunoni juu alivaa kitopo kilichoishia chini kidogo ya maziwa kitovu kipo wazi
Mda huo watu walikuwa wachache sana kutokana na mda yule dada(beach girl) akanikalibisha kinywaji nikakataa nikasema asante jinsi alivyo vaa mm tyr nilisha simamisha na kumtamani lkn jinsi ya kumuingia ikawa shida baada ya nusu saa yule dada(beach girl) akaenda kuoga nikaona hii ndio nafasi nikavua haraka ni mimi nguo nikaenda na kuoga nilikuwa naoga mbali naye kidogo uku nikimfata taratibu mimi sio muogeleaji mzuri basi nikamfikia nikawa naongea naye njoo nikufundishe kuoga sijui njoo tuoge wote najifanya baharia nahodha nikamsogelea kabisa na kumshika kiuno nilifanikiwa hapo ndio nikaesabu na shanga nikajua zipo sita yule demu alijua ninachotaka kumfanyia alijiongeza baada ya kuona ngoma imesimama akasema twende maji marefu mimi nikaona zari la mentali tukawa tunasogea kufata maji kina kirefu ili nipewe mambo vizuri tukafika maji ya shingo hapo wasi wasi na uwonga ukaniingia ila sababu ya mbunye nikaona fresh tu yule demu yupo tu hana habari sasa wakati tunasongea mbele kidogo likaja wimbi unajua wimbi wewe sasa ndio likaja mwenzangu kumbe ni beach girl anaoga kama samaki vile yeye akalikwepa kwa anavyojua yeye beach girl kazi kwangu sasa likanipiga baada ya kupita maji yakanivuta nikawa juu sifiki chini sigusi nipo kati kati hapo nikajua nipo kina kirefu kuzidi kimo changu nikanywa vikombe kama vitatu vinne vya chumvi unajua chumvi ya bahari alafu unywe vikombe vinne eeehhh nikawa nimefika juu kuangalia naona yule beach girl yupo mbali kidogo na mimi alafu kama alikuwa ananitafuta vile akaniona mm nikaludi tena chini sio kwa kupenda maji maji yale maji ya bahari achana nayo nikazama tena safari hii sijui nilikunywa vingapi ila niliona adi tumbo likivimba na kujaa niliona watu marafiki wapenzi ninao wajua ambao wameshatangulia mbele ya haki wamekufa niliona mtu mmoja akija na kuniambia leo ndio leo nipe roho yako taratibu pumzi zikawa zinakata na roho inataka kuacha mwili nikawaa sioni wala sisikii chochote nilipoteza moto nikahisi kama kuna forklift sijui mkono unakuja ninyanyua kwa mbali nikaona beach girl akijitahidi kunivuta na kuniinua juu kwa uhodari wake uwezo wake akafanikiwa baada ya kufika juu akaanza nivuta kuelekea nchikavu tumbo juu mwili ulishabadilika rangi sielewi chochote alifanikiwa kufika nchi kavu mda huo kulikuwa na jamaa wawili waliona lile tukio wakaja msaaidia beach girl kufika nchi kavu nikapigwa na mchanga kandamizwa tumbo nilitapika ndoo mbili za maji chumvi ndio ndoo mbili tena kubwa mwili haukuwa na nguvu kabisa wakanibeba na kunipeleka kwa gari mpaka kwake beach girl nikapewa chai uji maziwa kidogo hali ikaludi sawa nikaoga maji moto nikavaa na kushukuru sana beach girl akanipa namba yake na akanipeleka home tukawa tunachart sasa ndio akaniambia njoo kwangu tufanye kile ulichotaka kunifanyia kwenye maji sasa ndio mda wa kulipa kisasi na mimi nioneshe ubaharia wangu wa kitandani naombe ushauri ili nikalipe kisasi
BEACH GIRL
Hahahaha daah nimecheka kwa sauti hio story yko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KILA KITU KINA MWANZO NA MWISHO
PUMZIKA KWA AMANI TULIKUPENDA
ILA NYUZI ZINGINE ZIMETUPENDA ZAIDI
REST IN PEACE ULISHAWAHI KULA TUNDA KIMASIHARA KWA NIABA YA WANANDUGU NA FAMILIA TUNASHUKURU KWA WOTE MLIOCHANGIA MAWAZO YENU NA SHUHUDA ZENU ZA KWELI NA ZA UWONGO MUNGU AWE NANYI ASANTENI ASANTENI
Mkuu katika watu ambao wameonesha rangi halisi ya mioyo ya mtu mweusi kama mie ni weye, kwa kawaida sisi hupenda uongo, husda , chuki na ni wanafiki.

Nilisoma post zako kam mbili tatu, hivi, nikahisi kuwa ulikuwa Unapost story za uongo, sikuelewa hasa motive yako ya kuzungumza uongo katika uzi ambao haimlazimishi mtu yoyote kuchangia , simply kama huna kisa unakuwa msomaji. pale ilikuwa unawakilisha vema jadii yetu ya kupenda kusema uongo

Hii ya leo ni kama ya kufunga uzi nadhan baada ya jitihada zako nyingi za kufanya uzi uwe useless kwa Visa vyako vya uongo, hapa sasa unawakilisha chuki na husda kwa pamoja, kama kawaida yetu , rikkiboy ni bahati yake tu kuanzisha uzi na uka hit, ungeweza kujipanga na wewe uanzishe wako ili tukuchangie views na post , badala yake umetia fitna na leo unashangilia uzi unapodorora . Na utafurahi sana kama uzi ukipotea kabisa
Comments yako hii ya leo inatia full stop , kwa kejeli na shangwe zenye husda ndani yake ,kwa kitu ambacho hata hukukianzisha , inasikitisha sana!!!

Kitu ambacho najiuliza kwa nini tuna mioyo ya namna hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu katika watu ambao wameonesha rangi halisi ya mioyo ya mtu mweusi kama mie ni weye, kwa kawaida sisi hupenda uongo, husda , chuki na ni wanafiki.

Nilisoma post zako kam mbili tatu, hivi, nikahisi kuwa ulikuwa Unapost story za uongo, sikuelewa hasa motive yako ya kuzungumza uongo katika uzi ambao haimlazimishi mtu yoyote kuchangia , simply kama huna kisa unakuwa msomaji. pale ilikuwa unawakilisha vema jadii yetu ya kupenda kusema uongo

Hii ya leo ni kama ya kufunga uzi nadhan baada ya jitihada zako nyingi za kufanya uzi uwe useless kwa Visa vyako vya uongo, hapa sasa unawakilisha chuki na husda kwa pamoja, kama kawaida yetu , rikkiboy ni bahati yake tu kuanzisha uzi na uka hit, ungeweza kujipanga na wewe uanzishe wako ili tukuchangie views na post , badala yake umetia fitna na leo unashangilia uzi unapodorora . Na utafurahi ukipotea kabisa
Comments yako hii ya leo inatia full stop , kwa kejeli na shangwe zenye husda ndani yake ,kwa kitu ambacho hata hukukianzisha , inasikitisha sana!!!

Kitu amabcho najiuliza kwa nini tuna mioyo ya namna hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena yote mkuu,,wanadamu tumeumbwa na miroho ya husda,chuki,choyo na unafiki uliopitiliza!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIKONGWE

BIBI UNAJUA NI BIBI AU TUMUITE BIBI KIZEE HAPANA BADO HAILETI MAANA TUFANYE KIKONGWE ITAKUWA POA NDIO KIKONGWE

KIKONGWE bibi mwenye nyumba tumepanga kwake mimi ni mgeni pale wiki tu sijui ni bahati ngekewa au mkosi yule KIKONGWE alikuwa akinikubali sana zamu ya kufagia kudeki choo alikuwa akinifanyia yeye ikafika kipindi sasa hadi chakula napewa napikiwa na yule KIKONGWE mimi namchukulia kama bibi ananiona kama mjukuu wake kumbe bibi analake moyoni

Huyu bibi anaonekana smilies pini balaa enzi zake na alijua kujitunza njema kwasababu umbo lake la namba 8 bado lipo na kalio ndio kabisa akivaa khanga ndio balaa lakini ndio hivyo ngozi yake mvi vinamtupa mkono
Kuna siku Mojo mchana mda wa msosi akaniita na kuniambia leo utakula chumbani kwangu sawa akafunga mlango akawasha feni pale tukawa tunapiga msosi wote sasa akaanza sema unajua mikito mikito ng 'ombe azaeeki maini mimi namjibu ndio nikajua ni utani tu wa bibi KIKONGWE akaanza sema unanionaje mimi bado nalipa nikamwambia ndio basi bibi KIKONGWE akasimama na kuvua khanga zake mbili na kubaki na gadulo garulo sijui wanaitaje jeusi hivi akavua na hilo ndani hakuvuaa kitu akanimbia unanionaje mimi wakati huo ninatetemeka nina hofu kubwa sana au bibi KIKONGWE mchawi yaani sielewi akapanda kitandani akatanua miguu chali akawa ananiita kwa vidole ishara

Kwa kweli nilibaki nikijiuliza niende au lakini hapo ndipo nilipo jua shetani ananguvu ananguvu nilinyanyuka kwa kasi ya ajabu pale chini mpaka kufika kitandani nilashavua nguo zote ndio nilivua nguo site and kwa sekunde 30 sekunde nikamfikia bibi KIKONGWE sikutaka mambo ya kupiga deki romance tunda halishawishi kabisa nilichofanya ni kuzama moja kwa moja kwenye pango hapo ndio nikajutia zaidi kitu kwa friji baridi baridi kumepoa nishavulia nguo maji sina budi kuoga nikaendelea piga tako zangu za kivivu sasa nikasema and ngoja nimepe za ujana nikamuweka dog ajakaa sawa **** mboga inakolea mara tukutane katikati hatujamliza mbuzi kagoma mbuzi ajafika zizini chutama nichote maji maji tumechota nikalie nijipimie yule bibi KIKONGWE kila mkao yupo kila nikiweka hivi naweka vile nikasema leo ukisika ujana ujanani ndio leo au bibi KIKONGWE alikuwa malaya ujana wake sio kwa shughuli hii mpaka nakuja kutema wazee niko hoi nikasema and leo nimehaibika yaani nimepelekwa puta hivi ni bibi KIKONGWE nikatoka ndani nikamuacha kitandani

Kodi nikawa silipi msosi bure nadekezwa mjukuu nadeka kwa bibi KIKONGWE akashika Mimba ndio miaka 80 akashika mimba mtaani yakawa maneno story ndio hiyo nilihama pale sikuwahi kuludi tena nilisikia KIKONGWE amezaa ila sikutaka kuludi tena
SHETANI SHIKAMOO SHIKAMOO SHETANI
BIBI KIKONGWE BIBI KIKONGWE
Ndugu yangu hii TATEPA yako mwishoni ndo balaa yaani sukari nyingi mno. Bibi wa miaka 80 kashika mimba!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIKITO MIKITO NI NANI ?

Naona lawama zimekuwa nyingi sana kunihusu lengo lango ni kufurahisha kuburudisha huu uzi na sio vingine ni kweli shuhuda zangu ni za kutunga na za uwongo lakini hilo linajulikana toka zamani hata kwa akili tu ya kawaida mtu anaelewa anajua mikito mikito ni muongo kunakuwa na ucheshi kuburudisha ndani yake lakini kuna baadhi ya watu wanapokea vibaya sipo kwa ajili ya kumkwaza mtu au watu
Nimeelewa nimewaelewa sasa acha niwe msomaji kuliko kuandika chai tena ya rangi bora ingekuwa ya maziwa tena bila vitafunwa kweli
Kuweni huru na samahanini kwa wote nilio wakwaza
Asanteni asanteni
 
bora ufanye hivyo..maanake siyo siri...ulikuwa umenifika hapa........!!!!...lilobaki ilikuwa ni kukufuata PM nikulambe makofi tu...

huu uzi mambo yanayozungumzwa yana ukweli na uhalisia ..siyo hizo story zako za kutunga ambazo hazina uhalisi kabisa...

kama unapenda kutunga ..nenza kaanzie uzi wako utupie huu upupu wako...
 
Nilienda kupiga special exam udom, kwakuwa niliwahi wiki moja kabla ya kuriport nikabahatika kusafiri na kifest yia siti moja. Wao hutangulia kwa ajili ya orientation. Mungu si Athman bus ikaharibika Moro ikatulazimu kufka Dom usiku. Tukachukua lodge nikamtafuna vizuri tu, ila sikurudia tena, kumgonga, ni mngoni wa Songea, mweusiii tiiii. Mbayaaa

Hahahaaa yaani ukigonga Mngoni wala usijisifie. Hawanaga hiyana hao. Wanaume zao ni dungadunga, na wanawake ni panupanua.
 
Mi hizi zishanitokea mara kadhaa.

Baadhi ni:

Moja nilikuwa safarini gari la usiku kwenda Dom, likahariibikia umbali wa kama lisaa limoja kufika Dom. Tuliganda kama lisaa na nusu hivi. Kuna mrembo chuchu saa sita nilikuwa nimemuona wakati napanda gari (maana nilipandia njiani, yeye alitoka nalo Dar). Ila alikuwa amekaa na mama mmoja hivi nikajua ni mama yake nikaishia kumuangalia tu.

Asa gari ilipoharabika mida kama ya saa nne usiku naona mrembo akashuka akasimama peke yake na mama akaenda na yeye kivyake. Ndo nikajua hawa hawajuani. Nikamsogelea mrembo na kumsabahi akalalamika baridi kali. Ni kweli palikuwa na baridi usiku huo, halafu yeye alikuwa kavaa nguo nyepesi akajizinga na kanga.

Basi nikavua sweta langu nikamvalisha, mie nikabaki na shati nikachukua kanga yake nikajizinga nayo.

Asa hapo ili kupandisha profile ikabidi nijifanye mtu mkubwa. Nikapiiga simu ya Polisi nikawaambia wanipe namba ya kamanda wa usalama barabarani wa Dodoma. Nikapewa. Nikampigia na kumweleza basi limeharibika afanye utaratibu tuletewe basi jingine. Afande akaitikia, ila nilikuwa najua hakuna atakachofanya.

Demu akawa ashanisoma kwamba mimi sio mtu wa mchezo. Baada ya hapo tukaendelea na stori za hapa na pale. Akanieleza kwamba yeye anakaa Mbezi ya Kimara kamaliza form six anakwenda likizo kwa bibi. Nikamuuliza vipi wanakuja kumpokea? Akasema hapana ila alikuwa anategemea atawahi kufika pale Dodoma mjini kuna mabasi yanayokwenda huko kwa Bibi angechukua.

Hadi hapo nikacheka kumoyo kwamba goli liko wazi mabeki wameenda kushambulia nimebaki mimi na kipa tu.

Halafu wakati tunaongea Defender ya Polisi ikafika kufanya doria. Wakaongea na dereva ikaonekana basi linatengenezeka kwa hiyo abiria tuwe na subira. Basi demu nikajua hapo ndani ya moyo wake ameshakubali kwamba mimi sio mtu wa mchezo.

Basi demu nikampa stori za hali mbaya ya usalama Dodoma. Kwamba baada ya serikali kuhamia Dodoma vibaka na majambazi wengi wa Dar wamehamia Dodoma na sasa hivi ukabaji na ubakaji umeongezeka. Kwa hiyo asithubutu kutembea popote usiku huu.

Nikamwambia aongozane na mimi asubuhi ndo aendelee na safari. Demu akakubali.

Basi basi lilipona tukaendelea na safari tukafika Dodoma saa saba. Alikuwa na njaa nikamnunulia Chipsi Kuku tukachukua bodaboda hadi guest kule hakuleta shobo zozote tukaingia chumbani. Kuoga nikaoga naye nikamuogesha vizuri sana. Tukatoka tukala. Shoo ikaanza saa nane na nusu usiku. Tukapiga shoo kama dk 40 hivi tukanawa tukalala.

Kwa uchovu wa safari na shoo tukaamka saa nne asbh kwa kugongewa na wahudumu wa guest. Ikabidi nitoke kdg nikaongea nao kwamba wanipe nafasi kidogo nimalizane vzr na wifi yao. Wakakubali kwamba naweza kukaa mpaka saa sita.

Basi tukaletewa chai, tukala, tukaoga halafu tukapiga shoo ya kuagana lisaa lizima mpaka kuja kugongewa tena. Kwenye saa sita na nusu hivi ndo tukaondoka guest. Nikamsindikiza hadi stendi ya mabasi yake ya kwenda kwa bibi, na mimi nikaendelea na mishe zangu Dodoma.

Basi salam salam kwenye simu ndani ya wiki tu dem akaanza kunipiga vizinga wakati yuko kwa Bibi mi nisharudi Dar nikaona haya masikhara. Yaani nigharamie dem yupo huko halafu nibaki na maugwadu yangu huku nikampotezea.
 
Back
Top Bottom