Gonzalo Miguel
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 850
- 661
Aisee
Huyu jamaa ni wale watu wa roho za hivi...........Kwa upande wangu nimekusamehe lakini kiuhalisia umechangia sana kuvuruga huu Uzi, na imefika kipindi kila mtu anaeleta shuhuda iwe ya kweli watu wanaichukulia kama chai sababu, ya chai zako humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ipi?
linii?Nilivyonusurika kulika kimasihara
.
.
.
.
.
Itaendelea...
Mwendelezo wa aliyemgegeda mama na binti yake Dom to Mwanza
leta ushuhuda mkuuWakuu nilete maskhara mengine au bado mmemaindi kuhusu muandiko
Nakumbka ilikuwa 2012 maeneo ya uknga nimepng na mwngu nyumb moja ila kila MTU na gto lake
Ilikuw burdan sn maisha Yale maana kila join lzma tukutane kijiweni kW ajili ya str mbili tatu baada ya harakati za maisha
Dah! SKU isiyokumbukw jna si ndo wakahamia wapangji wawili MTU na dada yake baas
Kumbe mmoja pale ni shetani mvunja amani
Kwanza balaa lilianza palepale str zikbadlika tukwa tunawajadili wao tuu
Ooh! Mi wngu yule mwna huyo ananiambia akimaanisha mdg mtu.. Mi nikamjibu we tu hta ukiwataka wote kaz kwk hii inaitwa kifo cha mbuzi kW muuza supuu na wakati huo mwna ndo katoka kukimbiw na dem aliyekuwa anaishi nae binafsi huwa snaga muda hasa mwna akisema ile niachie
Basi mwna akaanzsha harakt kujipendkeza kw sna tu shda ikaja dgo kumuelewa ikawa shuhuli mwna akiingia huku dm anatokea huku basi ikaw tafrani
Isiwe tabu jamaa yng akaona bora amtumie dada MTU na mwna alidhamiria kweli kuishi nae
Dada mtu alikuw mtu wa tamaa c ndo akaanza kumvuna jmaa akimtumia mdg ake.. Jamaa akaona mbona mkwnja unakata halafu matokeo sioni so ikabid aanze kudai pesa zake Dada mtu kuambiwa ikabidi amkalishe mdg ake... Jiongeze we!
Kwl km utani jamaa akafanikiwa kuamsha goma lile ila kW dgo ilikuw shngo upande
Wakati huo mi hta str na dgo wala dd mtu cna zaidi ya salaam tu baas
Kula tunda kimasihara picha linaanza narudi zngu maskani mida ya sa mbili kasoro usk namkuta DM kakaa nje jirani na kijiwe chetu mi salam nikapta
Sjafika mbali naskia kk samahani nataka tuongea... mm Haina shda nikarudi nikakaa
Niambie dd! Samahani! Mi. Bila samahani .... Wamama wanalalamika ukienda kuoga unavaa vbaya taulo... Mi. Navaaje? Hasemi ila akaniambia uwe tu unavaa na kaoshi ukienda kuoga
M. Sawa nimekuelewa dd
Mi naenda kula nikamuacha nikaingia zng ndani nikafnya kilichonipeleka km dk mbili tatu HV natoka sasa niende kula naombw kusindikizwa na wakt huo wote jmaa hajarudi
Twenzetu tukaongozna na demu mi nimegonga msosi tunarudi namkuta mwna amepoa kijiwen na dgo kumbe alishamuulza dgo na wakat tunatoka alituona baada ya salaam dah! Mi full kujiongelesha maana hta SKU moja skuwahi kuwa na mazoea na dem Leo inakuaje mpk nimetoka nae na nnjiani zaidi ya utani dm wal hakukuwa na dalili yoyte km ningekula tunda
Tukakaa pale na mwna ila kadri muda ulivyokuwa unaenda str pale zilkuwa hazieleweki
Naona mwna anaaga ..oya! Mi naenda kulala..dah! mi pia ilibdi niage wakati huo tuko pmj na dem
Nae akaondoka maana hpo kunguru kishasema kila MTU kwao tenaa
Naingia ndani nacheki muda sa tano kasoro nasaula nachukua taulo nikaoge nakuta bafuni kuna mtu isiwe tabu uswhilini tenA mi choon nikapga maj natoka nakutana na dm ndo alikuwa anaoga nikamchomekea ningejua km ww ningekujata tuoge wote
Kumbuka wakati huo jamaa alishaingia kwk mda tuu
Tunaachna na dm mi naingia ndani dm kaingia kwao nafka tu ndn baada kujikausha maji nifunge mlango dem huyu hpa mlngoni.......mini tena hajaongea chochote ndni
Isiwe tabu nikafunga mlango kwnz ili nimuhoj vzr, nisiongee sna dgo alikuwa amenikubali since day one
Nikapiga mzigo na dgo alikuwa mtamu asikuambie mtu
Ila sasa haikuwa siri ten japo tulibaliana tufanye siri jamaa yng asijue kumbe toka pcha linaanza jamaa alishchezw na machale aisee mgogo yule kumbe alishuhudia gemu yote Niko kati kat ya gem niliona sm inaita asubuhi kuja kucheki kumbe yeye mwana
Nampgia asubuh ananihadithia kila kitu ilikuwa noma sema uwezo wa kunipga hna
Ila urafiki uliishia hpo aiseee
Team vibamia mmekasirika sana..eleweni sina chuki na ninyi.
jamaa unazingua kinyama mbona wengi tumekaa kimya, story za uongo kaadithie familia yakoMIKITO MIKITO NI NANI ?
Naona lawama zimekuwa nyingi sana kunihusu lengo lango ni kufurahisha kuburudisha huu uzi na sio vingine ni kweli shuhuda zangu ni za kutunga na za uwongo lakini hilo linajulikana toka zamani hata kwa akili tu ya kawaida mtu anaelewa anajua mikito mikito ni muongo kunakuwa na ucheshi kuburudisha ndani yake lakini kuna baadhi ya watu wanapokea vibaya sipo kwa ajili ya kumkwaza mtu au watu
Nimeelewa nimewaelewa sasa acha niwe msomaji kuliko kuandika chai tena ya rangi bora ingekuwa ya maziwa tena bila vitafunwa kweli
Kuweni huru na samahanini kwa wote nilio wakwaza
Asanteni asanteni
Bora asee, maana watu tuko serious...wewe ulikuwa unaleta utani.MIKITO MIKITO NI NANI ?
Naona lawama zimekuwa nyingi sana kunihusu lengo lango ni kufurahisha kuburudisha huu uzi na sio vingine ni kweli shuhuda zangu ni za kutunga na za uwongo lakini hilo linajulikana toka zamani hata kwa akili tu ya kawaida mtu anaelewa anajua mikito mikito ni muongo kunakuwa na ucheshi kuburudisha ndani yake lakini kuna baadhi ya watu wanapokea vibaya sipo kwa ajili ya kumkwaza mtu au watu
Nimeelewa nimewaelewa sasa acha niwe msomaji kuliko kuandika chai tena ya rangi bora ingekuwa ya maziwa tena bila vitafunwa kweli
Kuweni huru na samahanini kwa wote nilio wakwaza
Asanteni asanteni
sio watoto, ni wapumbavu.Huu uzi ulianza vyema sana,sasa ukaingiliwa na wapenda sifa zakijinga watoto wa mwaka 1998 hadi 2000,mtu unaleta story za uongo kabisa,unaleta story za kwenye vijarida wakat watu wanafunguka kuleta ushuhuda wa ukwel..hawa ndio wameharibu huu uzi..Ukishaona story ina maneno mengi wala usipate tabu kusoma,kwa sababu ni chai tupu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hizo ukumbuke ukumbuke zina maana gani? Ni nani ulikuwa naye wakati huo ili umwambie akumbuke? Hizi chai nazo ni shida sasa[emoji848][emoji848]Ebu na mm nishee experience kidogo miaka ya 2008 nikiwa kidato cha nne nilikula tunda kimasihara tu kwa mrembo mmoja mbaye tufanye jina lake X ila alipewa jina la baby candy kutokana na nyimbo ya dully ilikuwa moto moto wakati huo.
Niende kwenye mada baby candy alinizoea sana sana sababu nilikuwa na simu Kali sana ya Nokia yenye uwezo wa kupiga picha na kuhifadhi nyimbo kadhaa nilinunua kwa jamaa mmoja hivi tukimuita kabaisa jina la utani tu, na ukumbuke wakati huo ukumbuke mimi nilikuwa kipanga wa darasa letu.
Siku ya kula tunda kimasihara mtaaluma wa Shule alikuja kugawa past paper za mtihani wetu wa mock( dhihaka) basi akanipa bahasha kabisa wakati huo nilikuwa na funguo wa getho wa rafiki yangu nilikuwa naenda kuchaji simu yangu kwake kule kwangu umeme ulikuwa unatatizo kidogo,basi nikawa natoroka Shule kwa kupita chaka (njia zisizo rasmi) nakutana na kundi la warembo akiwemo baby candy ndio akajipendekeza nikusindikize ? Nikasema twende tukasepa gethoni kwangu kuweka bahasha kisha tukaenda kwa rafiki yangu kuchaji simu basi kufika tu gethon hali ikabadilika nikampigia mwanangu sana ambaye tulikuwa tunamuita Ngasa atuletee chakula na zana ili nifanye maangamizi mwanae basi siku poteza muda nikamchakata baby candy vizuri kisha akarudi skuli akakuta wenzie form two ameingia kufanya mock somo la kingereza aka ruhusiwa kufanya mtihani basi ikawa kamchezo ketu ,kwa sasa baby candy ameolewa na Mwalimu na wanawatoto wao ,ila ukumbuke mama mdogo wa baby candy nae nilishamtafuna sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Chief hujaitwa hapa iwe chai au uji sie twanywa pita kimyakimyamkuu Hance Mtanashati hongera kwa kuwa mtu wa kwanza kusema ukweli kuwa watu wanatupiga chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, chai zilizidi mno mpaka nikaachana na huu uzimkuu Hance Mtanashati hongera kwa kuwa mtu wa kwanza kusema ukweli kuwa watu wanatupiga chai
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nilete maskhara mengine au bado mmemaindi kuhusu muandiko
Noma sio kidogo nikikumbuka huwa nacheka tu