Na je ulikuwa na details nyingine, juu ya mahali anapoishi huko London, kazi yake, ndugu zake au rafiki zake na vitu kama hivyo ambavyo vinaweza kukusaidia kujua pa kuanzia kumtafuta ?
 
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu wala maasi yangu, unikumbuke kwa ajili ya fadhili zako
 
Zaa sasa kimasihara na mwanamke wa kiTanzania uone. Hizo child support ukikwama mwezi tu mshafikishana kwa ustawi wa jamii. Ukikaa vibaya siku unakuta nje ya nyumba yako kuna kitoto chako kimetelekezwa hapo.
 
Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu wala maasi yangu, unikumbuke kwa ajili ya fadhili zako
Nondo kama hizi zifuatane na mistari ya Biblia kwani usipofanya hivyo ni udukuzi wa kazi wengine bila kuwatambua. Kiingereza chake nimesahau ila it sound like priglisim (nadhari kuna makosa ya herufi)

Bazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni matumizi mabaya ya JF kusoma masihara ya watu bila na Mimi kuweka yangu.


Ilikua 2015 natoka kazini, bahati mbaya pikipiki yangu ikaishiwa mafuta ikiwa sijafika pahala niwezapo pata msaada wa mafuta. Wakati natoka nunua mafuta nikakutana na binti makamo ya form 4 leaver hivi anatembea kando ya barabara design kama hana ramani ya aendako (mabaharia wanelewa kuwasoma hao viumbe) na hakuwepo kichwani kama saa moja ijayo anaweza kuwa kitoeo. Wakati nageuka pikipiki nikakutana nae tena akionekana vile vile kuku mgeni. Nikasimama kando na kumsomesha iweje mtoto mbichi anachomwa na jua wakati mie pikipiki yangu sina abiria. Ghafla bin vuu mtoto wa watu akakwea lengo akapewe walau maji baridi popote yauzwapo atuze joto. Break ya kwanza home kwangu (mke wangu alikua mkoa wa mbali nami). Kumbe kweli binti alikua mgeni na alikua anakata mitaa kuujua mjini, na bahati nzuri akakutana na mwenyeji akanitunuku tunda pasipo hata mtongozo.

NB: Sikutaka kumjua jina na wala namba yake ya simu sikuchukua. Mtoto wa kinyamwezi, uwazi wake ulikua vizuri sana. Mwishowe aliambulia Tshs. 600/= ya nauli akarudi kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Babilon
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah my ribs
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishi maisha yako ..ukianza kuwaza kuhusu hayo kwa mkeo/Gf basi utakuja kufa mapema bure ....

Tofauti ya mwanaume na mwanamke ipo katika maumbile na baadhi ya tabia ...lakini jinsia zote hizo mbili zina tabia ya kufanana katika mahusiano ..especially katika suala la tamaa ..wote wana tamani (me&ke) wapo wanaopenda kuongonoka na wanaume/wanawake wengi ...wapo wachache wanaopenda kutulia katika mahusiano yao... Yaani maisha ya mahusiano yako very complicated Ukiyafuatisha utakuja kudata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakuwa alikuona wewe ni mbabaishaji ndio maana haja kutafuta tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…