Yani mganga anakuuliza umelalaje wakati alitakiwa ajue? Tena mmeshaunganisha spirits alitakiwa kama mganga kweli awe anaona kila kinachoendelea kwako.
Alafu huyo mganga huenda ni mbibi ama jini ila kajigeuza mmama mzuuuri ili akupate tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
Mh
Umeniogopesha mkuu
mh mbona mi naona yupo simple tu kawaida mkuu?Umesha nasa wewe
kutoka kwenye huo mtego si kazi rahisi,umefunga ndoa na shetani,hivi unafkiri shetani anaachika? jipange mzee kama ulikua unataka kuonja tu ujue majini hayaonjeshwi.
pole tena pole sana
Nikome kwanini?Ukome
Hapana hela sijaipata na hata dawa bado sijazifanyia kama alivyonielekeza
Siwezi kumuacha hasiraniMkuu Kula Zigo Kama Nitamu Achana Na Washakunaku Maana Hata Ufanye Nini Watapinga...
πππ si kweli mimi nitamla tu kisha nikiishamkinai naingia mitiniDaah man we jasiri kinoma asee... Sasa apo ujiandae na wewe kuwa mganga msaidizi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kwisha habari yake asubir kupiga ramliYani mganga anakuuliza umelalaje wakati alitakiwa ajue? Tena mmeshaunganisha spirits alitakiwa kama mganga kweli awe anaona kila kinachoendelea kwako.
Alafu huyo mganga huenda ni mbibi ama jini ila kajigeuza mmama mzuuuri ili akupate tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
Kivipi mkuu au shida kwakua yeye ni mganga? Halafu mi sina haja ya kumuoa mi nampitia tu nalala mbeleKichwa cha chini sometimes kinatuponza kama usemayo ni kweli imekula kwako mazima
Sent using Jamii Forums mobile app